Somoe
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 754
- 282
Vijana tukiwa kwenye harakati za kutafuta mwenza wa maisha tunakumbana na mambo mengi sana unless uwe na bahati sana kumpata yule mnae match. Moja kati ya mabinti niliokua na date nao alikua ni mtu wa mizinga kila kukicha mara kodi mara hela ya shopping ukizingatia ni mfanyakazi anaelipwa vizuri tu. Kitabia yuko perfect.Niliamua kumuacha huyu binti maana mizinga ilizidi. Ninachotaka msaada humu je nilifanya the right decision or nilimpoteza mke?
Ndio maana hawaolewi, wanasota wanatabia mbaya. Alitaka kukufanya ATM yake