marrykate
JF-Expert Member
- Mar 4, 2012
- 733
- 444
If I may ask wanajamvi
Tunatofautishaje mtu anapoomba msaada na mzinga?????????
Kuna mahusiano,yoyote yale bila kusaidiana??????
kuomba msaada,
ni pale kweli umekwana, basi unaomba usaidiwe, umeugua ama kuuguliwa na ndugu yako wa karibu na huna pesa kipindi hicho basi utasaidiwa pesa ukatibiwe,
au umeachishwa kazi ghafla, hukuwa na saving yoyote, basi hapo utasaidiwa mpka utakajiona unaweza simama pekeyako tena
mizinga iko hivi, unafanya kazi, unalipwa vizuri au una biashara nzuri ila hutaki kutumia pesa yako,uanpenda kutumia ya mwenzako tu. ukitaka suluali nzuri unamwomba mpenzi wako hela akununulie, akujazie mafuta kwenye gari, akununulie umeme home, akulipie bill ya maji, aje na kagunia aya mchele
mara friji yako imeharibika unataka mpenzi wako akunulie mpya,mara unataka mpenzi wako akutumie pesa ukafanye check up wakati una bima yako ya afya, yaani lango ni kumfuja tu