GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,904
- 4,666
- Thread starter
- #21
kama HDD ingekuwa imekufa window xp pro sp3 isinge ingia ila ili tatizo nimekumbana nalo kwa mara ya tano kwa pc tofauti na nimegundua kuwa baada ya kuformat sana pc HDD inaanza kubagua window na window ya kwanza kubaguliwa huwa ni 7 home pre alafu pro then 8 alafu ultimate ndio zinakuja hizi ndogo ndogo za vista na pro sp1 na 2 lakini 3 huwa inaingia na tatizo kubwa huanzia kwenye DVD rom kwasababu ni external naomba nikuulize swali huwa unatumia dvd yako kuangalizia movie za dvd esp alibaba na blu rays?
asante bwana Srebrina ! mkuu sidhani kama hii DVD rom (RW) ina shida! manake hapo mwanzo nilikuwa naweza kuinstall hata kwa setup ya Windows 7 niliyoisave ndani ya local disc, lakini sasa inagoma! DVD huwa situmii, mara chache huwa nacopy na kuangalia baadae kama softcopy!
Last edited by a moderator: