Baada ya ku-install partition magic computer yangu haitaki kuwaka naomba msaada

searcher

Member
Jun 30, 2014
36
5
Nina Pc dell latitude d620, Jana nili install partition magic 3, baada ya hapo ikaleta ujumbe kwamba ile software haikuwa compatible na Windows ikahitaji kurestart.

Nilipo restart ikawa inawaka afu ikifika sehemu inarestart tena. Naomba msaada wenu wa dhati maana nina document za muhimu ndani ya PC.
 
Nina Pc dell latitude d620, Jana nili install partition magic 3, baada ya hapo ikaleta ujumbe kwamba ile software haikuwa compatible na Windows ikahitaji kurestart. Nilipo restart ikawa inawaka afu ikifika sehemu inarestart tena. Naomba msaada wenu wa dhati maana nina document za muhimu ndani ya pc

Pole na tatizo,, What you need to do nikwenda kweye safemode by pressing F8 key,then select safe mode,, ikishafunguka do system restore( Click start,all programs,Accessories,system tools, system restore. Then select the last date ambayo computer yako ilikuwa inafanya kazi vizuri...Then click restore...

I believe you will be able to solve your problem through this
 
Documents zipo kwenye drive nyingine, Ahsante #Zasasule , bado inagoma inaleta vile vile, launch startup repair na start Windows normally
 
Nadhani kuna kitu haujatuambia. Software imekataa kuinstall kwa vile sio compatible lakini imeharibu boot process? Highly unlikely.

Anyway weka CD ya windows kwenye machine, restart, boot from CD; kufanyikisha hili inaweza ikakubidi uchague CD kama boot device au uingie BIOS setup na kuchagua CD kama boot device ya kwanza.
Then ukiboot from cd itakwambia uchague lugha na keyboard, chagua then nenda next, utaona option ya Repair, chagua hiyo kisha fanya startup repair.
 
ikizingua hii toa HDD weka kwenye pc nyngne unaweza ku2mia kama external copy documents zako format hyo hdd piga window nyngne
 
Back
Top Bottom