Delivery beds zinapatikana maduka gani?

Delivery beds zinapatikana maduka gani?

Jimbi

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2010
Posts
4,605
Reaction score
5,192
Wakuu habari?

Ni duka gani hapa Bongo naweza kupata Vitanda vya kujifungulia akina Mama? Na ni kwa bei gani?

Nilikua ziarani kijijini kwa kweli nimeguswa sana kwa jinsi Mama na Dada zetu wanavyo taabika wakati wa kujifungua.

Tafadhali mwenye taarifa kamili naomba anijuze hapa. Nimetafuta sana maduka ya bidhaa hizi bila mafanikio.
 

Attachments

  • 2.jpg
    2.jpg
    36.5 KB · Views: 35
  • 3.jpg
    3.jpg
    43 KB · Views: 32
  • 1.jpg
    1.jpg
    24.9 KB · Views: 34
  • delivery-table-couch-stainless-steel-hf1915.jpg
    delivery-table-couch-stainless-steel-hf1915.jpg
    24 KB · Views: 30
  • delivery1.jpg
    delivery1.jpg
    5.7 KB · Views: 33
Nenda ANUDHA Limited, lipo Kisutu katika barabara ya mwendikasi kati ya mtaa waLibya na Jamhuri
 
Nenda Gerezani muulize mtu mmoja anaitwa Chaku atakutengenezea kwa bei nafuu sana maana Madukani bei iko juu sana
 
Nenda Gerezani muulize mtu mmoja anaitwa Chaku atakutengenezea kwa bei nafuu sana maana Madukani bei iko juu sana
Bei ikoje? Kwanini Watanzania tunapenda kuficha ficha taarifa?
 
Keko Pale Jirani Na Jkt Kuna Kampuni Nimesahau Jina Utapata Nakumbuka RC Dar Alikwenda Akapewa Vitanda Vingi
Samahani Bei Sijui
 
Back
Top Bottom