Delayed response

Delayed response

BinMgen

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2008
Posts
1,868
Reaction score
308
Wakuu nimepata tatizo katika mashine yangu, ni dell N5040.
imekuwa ina delay ku respond Unapo click au kufanya chochote, hii inatokana na HDD ku run %100 muda wote. hii imekuja baada ya ku install windows 8. nimerudisha windows 7 lakini tatizo bado liko palepale. msaada wakuu nime google sana sikupata ufumbuzi.
 

Attachments

  • Capture 1.PNG
    Capture 1.PNG
    30.5 KB · Views: 42
  • Capture 2.PNG
    Capture 2.PNG
    2.9 KB · Views: 43
  • Capture 3.PNG
    Capture 3.PNG
    3.3 KB · Views: 35
Back
Top Bottom