Deki gani nzuri ya dvd

mwitu

JF-Expert Member
Jun 22, 2012
856
200
Jamani deki gani ya dvd? Maana kuna hizi zingine zinanichanganya Singsung VS Singsang
 
mkuu uzuri wa deki unategemea sana pia na matunzo...ukiitunza vizuri hata kama ni ya mchina itapiga kazi vizuri tu...sio unatumbukiza ma cd yamekwaruzika ukitegemea eti ni imara...anayway kwa mimi binafsi nazifagilia sana SONY na LG...sijui kama ni mapenzi tu au ni kweli ni imara...!!:redface:
 
Pata Samsung pale Freedom Electronics zipo za aina tofauti na bei pia. 2 years warranty
 
inategemea na fedha uliyonayo kama ni wa kipato cha chini tafuta singsung kitu imetulia
 
kama kipato chako cha chini chukua Singsung kama salio lako linajitosheleza ingia Panasoni, LG, Sony, Hitachi au Samsung..
 
nunua singsung ni deki nzuri sana ninaitumia kwa miaka miwili sasa na hata siku moja haijanipa tatizo but make sure imeandikwa MADE IN INDONESIA
 
ayaaa ulikiwa hujui jombaa,kitu cha singsung usipime kaka,hakinaga kuchaguaga cd,iwe mpeg4,data,kila k2 kama japenga vile
 
Back
Top Bottom