Degree za bamaga

kabila01

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
4,235
4,949
Katika vile vikao vyetu vya jion baada ya kazi, tulikua tumekutana na jamaa kibao kutoka sehem mbalimbali za kazi. Katika mazungumzo kuna mtu mmoja alifanya mambo ya kitoto sana ndo jamaa mmoja akamwambia " inakuaje unafanya vitu vya kitoto kama hivi au na wewe una degree ya Bamaga?" hapo jamaa alikua anamaanisha kua degree inayotolewa na Chuo cha ustawi wa jamii Dar
 
mi naona nikutokana na ujuzi wapale ni unahusiana na mambo ya watoto kama vile diploma ya jinsia na watoto..
 
Du!mm niliposoma heading sikuelewa mtoa mada alikua anamaanisha nini!ila kwa sasa nimempata!kwani pale wanatoa degree siku hz?tatizo sio wanafunzi!wanafunz hawana taabu hata kidogo!tatizo lipo kwa hao waliowapa hadhi ya kutoa degree wakati wakijua hawana sifa za kutoa hiyo degree
 
Sera za chama hizi mpaka kufikia 2015 vyuo vinavyotoa degree viongezeke bila kujali walimu watasoma vipi na maslahi yao yatakuwaje? Hawa ndo ccm bwana si unaona vyou vyote sasa ni degree lkn ubora ni 0
 
Back
Top Bottom