Kwahiyo wewe hiyo unaona ni sawa??Mtoto mdogo unajua nini wewe ! Mimi nimesoma na watu wameoa darasa la kwanza. Mtu yuko 25 yrs. Na nimemaliza darasa la saba na watu wapo 30's !
Hahahhawe kama ulichelewa kwenda shule ni shida zako mwenyew ila umri rasmi uliopitishwa tangu kipindi cha azimio la arusha ni miaka 7 mtoto anaanze darasa la kwanza.
Hapa ndio tatizo lipo.Na baba na mama bado wana m'treat kama mtoto. Ataweza changamoto gani huyu ?
Yaaaa wewe upo sahihi..Mimi huwa napenda kuwaambia vijana wajiangalie wao zaidi na sio jamii au mitaa inawachukulia vipi..
Umemaliza chuo umepata shahada yako, jiangalie wewe zaidi, hiyo shahada imepanua vipi fikra zako na uelewa wako katika jamii?
Mara nyingi wanaokuwa na hadithi hizi za shahada kupoteza mvuto ni wale ambao hata chuo walishindwa kufika!
Ili uwe mtu mkamilifu kuna wakati ni lazima uyape kisogo maoni ya wengine na ujiangalie wewe zaidi, walioshindwa wana maneno mengi!
Hii si 7bu ya msingi ila kwakuwa ni mawazo yako ni sawa...sahihi maana zamani mtu anayejoin university anakua na uwezo usio tetereka ila kwa sasa chuo kumejawa na vilaza tu wa kuunga unga vikozi unadhan kutakua na kitu hapo
Nipe legacy ya hawa wasomi kutokana na usomi waoHao ni wazuri, ila njaa ina nguvu kuliko hata Phd
Kusoma sana siyo ishu siku hizi na wala siyo kazi. Kazi ni kuigeuza elimu uliyoipata kuwa pesa.Hahahahaah.. kweli kabisa kwasasa msomi ni mwenye pesa, huwezi ukajiita msomi halafu huna hata 100
Si kweliNi kweli hizi hadithi wanazozileta wanakua wengiwao hawajaweza kupata degree, na wanakua na kiburi kuleta mada kama hizi maana unakuta kiuchumi wako vizuri zaidi ya wenye degree na kuendelea.