kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,114
- 1,879
Soma hii comment ya bwana njukile utaelewa namaanisha niniToa sababu otherwise labda wewe ndiyo umechuja..!
sahihi maana zamani mtu anayejoin university anakua na uwezo usio tetereka ila kwa sasa chuo kumejawa na vilaza tu wa kuunga unga vikozi unadhan kutakua na kitu hapo
Jamani hivi mnaionaje degeree ya miaka hii??
Mimi naona kama imechuja sana haina makali kama miaka ya nyuma, uzito wa degree ya sasa inavyochukuliwa mtaani ni sawa na uzito wa anaehitimu form six miaka ya nyuma
Nyie mnaonaje wadau??
sahihi maana zamani mtu anayejoin university anakua na uwezo usio tetereka ila kwa sasa chuo kumejawa na vilaza tu wa kuunga unga vikozi unadhan kutakua na kitu hapo
Hahahahaah.. kweli kabisa kwasasa msomi ni mwenye pesa, huwezi ukajiita msomi halafu huna hata 100Zamani degree likuwa ni ajira, wasomi wachache, teknolojia duni. Ukisoma mkoa mzima unakujua chuo kikuu kimoja. Leo watu ni wengi teknolojia ni pana, mwenye degree anajua theory zaidi na darasa la saba anafanya practical zaidi. Wasomi wengi, vyuo vingi, ajira hakuna. Elimu imeimarika sana tatizo huwezi kusoma ukajulikana hata kijijini maana kila mtu ni knowledgeable.
Msomi pekee anayejulikana leo ni mwanasiasa au tajiri design ya Bhareksa.
Wengi mnaochangia hapa usikute hata hizo degree mnazisikiaga kwa wenzenuHahahahaah.. kweli kabisa kwasasa msomi ni mwenye pesa, huwezi ukajiita msomi halafu huna hata 100
Degree nini mkuu, hiyo degree hainisaidii kitu... kama una kadegree na wewe halafu umebweteka unajiona umemaliza unapotea sana, degree ya darasani na kutafuta pesa ni vitu viwili tofautiWengi mnaochangia hapa usikute hata hizo degree mnazisikiaga kwa wenzenu
Mkuu umenena the truthMimi huwa napenda kuwaambia vijana wajiangalie wao zaidi na sio jamii au mitaa inawachukulia vipi..
Umemaliza chuo umepata shahada yako, jiangalie wewe zaidi, hiyo shahada imepanua vipi fikra zako na uelewa wako katika jamii?
Mara nyingi wanaokuwa na hadithi hizi za shahada kupoteza mvuto ni wale ambao hata chuo walishindwa kufika!
Ili uwe mtu mkamilifu kuna wakati ni lazima uyape kisogo maoni ya wengine na ujiangalie wewe zaidi, walioshindwa wana maneno mengi!
Hao ni wazuri, ila njaa ina nguvu kuliko hata PhdDegree ipi ya zamani ina nguvu ya hawa wasomi wetu wa zamani vigeu geu : Lipumba, Msando, Prof Mkumbo and the likes
Ni kweli hizi hadithi wanazozileta wanakua wengiwao hawajaweza kupata degree, na wanakua na kiburi kuleta mada kama hizi maana unakuta kiuchumi wako vizuri zaidi ya wenye degree na kuendelea.Mimi huwa napenda kuwaambia vijana wajiangalie wao zaidi na sio jamii au mitaa inawachukulia vipi..
Umemaliza chuo umepata shahada yako, jiangalie wewe zaidi, hiyo shahada imepanua vipi fikra zako na uelewa wako katika jamii?
Mara nyingi wanaokuwa na hadithi hizi za shahada kupoteza mvuto ni wale ambao hata chuo walishindwa kufika!
Ili uwe mtu mkamilifu kuna wakati ni lazima uyape kisogo maoni ya wengine na ujiangalie wewe zaidi, walioshindwa wana maneno mengi!
Uko sawa kabisa. Mtu anamaliza degree and miaka 19. Yaani mwaka Jana yake ndio alikuwa amebarehe.Maturity is the main problem ! Zamani darasa la kwanza mpaka uwe na miaka 9 au 10. Sasa hivi miaka 5 !