Degree with Honours

Na hii unaizungumziaje?
UDSM, first yr 3.5, second yr 3.5, third yr 3.0 na supp moja lakini kapata overall gpa 3.3 with honours
 
Unatakiwa usi-supp au kufanya special exam maisha yote ya chuo. Hizo GPA ni cosmetics tu na hutegemea na colleges sio universities ambazo ni universal.
 
Me nilipata honours. Na gpa ilikua haishuki. Nilimentain
 
Me nimepiga udsm na first year3.5,2Year3.4,na 3year 3.1 na nikapata honours. Hapa inakuaje mnaosema ni kupanda kwa gpa kila mwaka
 
[
Me ilikua inashuka na nina honours
 

first yr GPA 4.0, secnd yr GPA 3.9 na third yr GPA 4.1 Pia sijawahi pata sapu hata moja from Mzumbe university. Ndo nmemaliza this year 2015 july. Je hapo nitarajie nini? A degree with honour au? nielewesheni hapo.
 
UdsL Hons degree ni kama hujawahi kupata sap na huna carry over.

Kama unabisha usiniquote bali pitia UDSM prospectus.
 

Mwenyewe nayoijua ndiyo hii hapa...mzumbe university wanatumia hii....
 
Me Nimepiga Pale Udsm mwaka wa kwanza 3.5, wa pili ,3.4 na wa tatu 3.1 na nikapewa HONOURS ya lower second.ila me hapo ukicheki nimebalance gpi mana nimecheza na3 kucha hivo vipoint point.so maintainance is among of keys
 
Nijuavyo mimi, ni kuwa degree with honour anapewa mtu ambaye ame-maintain matokeo yake kwa kupanda, yaan kwa mfano umeanza na gpa 2.7, 3.2, 3.2, 3.4, 3.5, 3.5, 3.5, 3.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…