VP petroleumMliochaguliwa hizi degree programs pale udsm,mkawe makini,vingnevyo mtaisoma number
1.civil engineering
2.electrical engineering
3.mechanical eng
4.mining eng
5.physics
6.economics
7.statistics
Haili vichwaVP petroleum
coNas sio kuzur kwaninn kk??chemistry haili vichwa sana,ingawa huko conas sio pazuri kabisa.
Hii inawaondoaga vijana wengi sana pale, halafu jamaa wale ni makompliketa sanahuko wana departmental GPA.
Tax na insurance nyepesi mnoo na sio kweli inakula vichwa...koz ya acc ndio dume...unakula vichwa hadi 3rd year..MAMEFA..management a/c...managerial econ..financial reporting!Kwa IFM program ya taxation na insurance
Sawa mkuu nitaanzisha wa ifmanzisha uzi unaohusu ifm.

yeah,kuna mtoto wa mkuu wa majesh ya rwanda walimla kichwa mwaka 2013,mpaka balozi wa rwanda kaja kumuombea eti arudie paper,lakini jamaa wakaweka ngumu,ikabidi uongoz umpe chance ya kurudia 1st year kozi za huko CASS.Hii inawaondoaga vijana wengi sana pale, halafu jamaa wale ni makompliketa sana
Inawezekana kwa sababu wapo wachache sana wanafunzichemistry haili vichwa sana,ingawa huko conas sio pazuri kabisa.
+ cost accountingTax na insurance nyepesi mnoo na sio kweli inakula vichwa...koz ya acc ndio dume...unakula vichwa hadi 3rd year..MAMEFA..management a/c...managerial econ..financial reporting!