mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,743
- 6,273
Wassira bwana, wewe mwenyewe bingwa wa kulala hata wale machangu wako Dodoma bado wanakulaumu kulala hovyo ukitokwa na miudenda kama zezeta.Amka wewe
Wassira bwana, wewe mwenyewe bingwa wa kulala hata wale machangu wako Dodoma bado wanakulaumu kulala hovyo ukitokwa na miudenda kama zezeta.Amka wewe
Hii inaweza kuwa na ukweli aisee, jamaa wa TANAPA wanarogana kishenzi, kaka yangu (yupo upande wa HR pale TANAPA) anasema yaani kama wewe hurogi basi wenzako watakumaliza. Yaani madereva wake wamekuwa kama wabunge wetu vile kwa kurogana.6. Dereva wa TANAPA (degree ya uchawi tu ndiyo inahitajika kwake).
😆😆😆 kuna jamaa waligraduate kipindi cha kwanzia 2015 hadi 2020 wakiiona hii comment watasikitika sana. Maana walisugua benchEducation
Uwekezaji wanaoufanya wabunge kabla ya kuupata ubunge ni mkubwa.Siasa ni tofauti na elimu that's why lakn sijui ni kwann wanapew mishahara mikubwa sana hawa watu
Degree yoyote ina umuhimu wake,waweza pia kujiajiri mwenyewe.Degree ambazo ukisoma hukosi Ajira.
1. Computer Science
2. Healthcare
3. Degree of Mass Communication
4. Some engineering courses.
5. Business Management.
Ongezea Degree moja hapa tuone?
Mass comm kwa sabab ya hizi online media au? Mbona hao wau mtaan kibao tuDegree ambazo ukisoma hukosi Ajira.
1. Computer Science
2. Healthcare
3. Degree of Mass Communication
4. Some engineering courses.
5. Business Management.
Ongezea Degree moja hapa tuone?
Sio kweli supply ya watu wa hizi kozi mtaani ipo kubwa na hawana ajira sasa atakayekuja mbele ndo atapata?Degree ambazo ukisoma hukosi Ajira.
1. Computer Science
2. Healthcare
3. Degree of Mass Communication
4. Some engineering courses.
5. Business Management.
Ongezea Degree moja hapa tuone?
Anachoongea hakina uhalisia labda md hapo ila zilizobaki hakuna kituBila shaka bado hujaingia ulingoni