Degree ambazo ukisoma hukosi Ajira

Degree ambazo ukisoma hukosi Ajira

Degree ambazo ukisoma hukosi Ajira.

1. Computer Science

2. Healthcare

3. Degree of Mass Communication

4. Some engineering courses.

5. Business Management.

Ongezea Degree moja hapa tuone?
Ila mbunge anatakiwa ajue kusoma na kuandika mshahara mara 100 ya degree holder
 
Kweli kabisa boss, People can't live without them in current life
Ukisema ajira unamaanisha nn mfano mirradayo hana degree ya mass communication wala journalism Ila ndo mwandishi wa habari namba moja east Africa kwa sasa.

Na kuna jobless ambao is endless kwenye hizo degree umetaja.
 
Millard ayo amesomea Uandishi wa habari that's why kafanya kazi hadi ITV na sasa ni mwajiriwa clouds
 
Sawa bhana Just do research alafu uniambie how can we live without doctors, computer experts, engineerings experts

IPO hivi

Demand versus ajira

Mfano Mimi nikiwa nomesomea Education najua ninajitajika Ila kuhitajika na kupata ajira ni mambo mawili tofauti

We can't live without , teachers , doctors , Ila haimanii ajira zipo na hauwezi kukosa .
 
Back
Top Bottom