CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,502
- 25,469
Mkuu mbona umeweka Avatar yako pia ni lugha ya malkia?Kwa sisi wenye 0' yaani tuliozungusha... Mtoa mada umetuonea
avatar sio tatizo hata ukiweka ya malkia lakini suala la kuelewa lugha linabaki palepaleMkuu mbona umeweka Avatar yako pia ni lugha ya malkia?
Hili neno nililisikia kwenye miaka ya 70 lakini sijajua maana yakeTime Is Makangabiliti(sijui Nilisikia Wapi Hili Neno)
Kile kipengele cha time makes it reversals- hunter becomes the hunted, slave becomes the master!Kwa hiyo Bashite yupo kwenye kipengele gani cha time hapo?
Kaka umezid kunipotezaPut your hand on a hot stove for
a minute, and it seems like an
hour. Sit with a pretty girl for
an hour, and it seems like a
minute. That's relativity.
Albert Einstein