Samahani lakini kama nitakosea. Nimeona umejisahau unarudia rudia. Nadhani ni kwa sababu ya hamasa!.
ivii kweliii eeeeh,kuna test ya apple,vanilla,azam...limau na mapera kumbe. mi napenda test ya kukuwa kienyejii kale kaarufuu doh