Zitto - who is Zitto! Made to think by rev and all of you. Who are my friends? Ninaanzia hapo. Kila la kheri
Uwezi kuwa Chadema ukawa perfect! Utakuwa una matatizo tu, tena makubwa!
- Maoni yangu ni kwamba on Zitto, mazingara ya siasa Tanzania hayaruhusu wanasiasa wa aina yake kushamiri, yuko mbele sana na wakati miaka 50 ijayo ndio anaweza kuwa kiongozi anayefaa kwa taifa letu lakini sio sasa, he is way too far ahead of the times.
- Zitto, hana tofauti kubwa sana na Mkapa, (wanatofautiana kwenye ufisadi tu) lakini otherwise, nawaona wakifanana sana, maana Mkapa alipoingia kwenye power alikuwa na nia ya kufanya kweli sio siri, lakini mazingara ya siasa yetu kitaifa ndiyo yaliyomkatisha tamaa, mwisho akakubali kufuata ya viongozi wenziwe wengi yaani ya ufisadi, ingawa simtetei na ufisadi wake ni fisadi anyways!
- Kwa kifupi, Zitto yuko mbele sana ya wakati na akijaribu tu ku-adjust ili a fit-in na mzingara ya siasa Tanzania, basi ndio mwisho wake politically sasa hivi anahitaji kufanya a very careful navigation, infact anaweza kujisaidia zaidi, iwapo atakaa pembeni na siasa kwa muda na kurudi siku za mbeleni, otherwsie he has the right attitude kiuongozi, tatizo ni time bado kufikia.
Respect.
FMEs!
mimi nashauri angepumzika kidogo siasa!naona ujana unamsumbua mshkaji
Kama unapokuwa kwenye Chama cha kuongozwa na Makamba kama katibu Mkuu,matatizo uliyonayo ni makubwa zaidi na mbaya zaidi huwezi kuelewa kama una matatizo hayo!Uwezi kuwa Chadema ukawa perfect! Utakuwa una matatizo tu, tena makubwa!
Maadam yupo Chadema, basi ana kasoro kadhaa, licha ya wewe kujitahidi kumpamba!
Uwezi kuwa Chadema ukawa perfect! Utakuwa una matatizo tu, tena makubwa!
2. Umimi. Anajiimarisha yeye zaidi kuliko chama chake. Hili halitamfikisha popote zaidi ya kupata UMAARUFU. Awaulize akina Mrema waliotumia staili hii walikofikia.
Mkuu naomba nitofautiane na wewe hapa. Zitto ninaye mfahamu mm tangia tukiwa naye pale UDSM, hicho ulicho kisema hakimhusu au si hulka /tabia yake kabisa. Zitto anamisimamo thabiti sana kwenye mambo anayoyaamini yeye kwamba ni sahihi, huwezi kumyumbisha kwenye suala hili, na huwa hayupo tayari kubadili msimamo wake labda sir. God ashuke duniani! Mfano...Sakata la viongozi wa DARUSO....miaka hiyo -kutokana na kutokubali kwake kusurrender, ilipelekea yeye na baadhi ya wenzio kusimamishwa masomo, pili Sakata la Buzwagi...u all know what happaned, tatu....issue ya HOVYO HOVYO, kila mmoja anajua, Issue ya DOWANS....etc just to mention machache!1. Msimamo usioyumba. Bado anapungukiwa hili na limekigharimu sana CHADEMA kwenye chaguzi za Mitaa zilizopita. Angechaguliwa yeye kuwa Mwenyekiti wa Taifa hadithi ingekuwa nyingine sasa hivi kwa siasa za Nchi hii.
Yes, Wilcard hapa tupo pamoja......hii ni mmoja wapo ya kasoro za mheshimiwa..... he needs to do something here!2. Umimi. Anajiimarisha yeye zaidi kuliko chama chake. Hili halitamfikisha popote zaidi ya kupata UMAARUFU. Awaulize akina Mrema waliotumia staili hii walikofikia
Uwezi kuwa Chadema ukawa perfect! Utakuwa una matatizo tu, tena makubwa!
Mkuu c unajua tena kipendacho roho huwezi mwelimisha huyo!Nani perfect dunia hii? Nitajie mtu aliye perfect, kutoka chama au dini yoyote duniani. Tujifunze mawasiliano jamani.
Kwenye kiingereza tutasingizia lugha ya kigeni, sawa.Hata kiswahili nacho?