Dedicate wimbo kwa umpendae na umchukiae

unapenda nyeupe ooo.
Haya dad wako kafilisika mahali hao ni sinia la dhahabu utatoa wapi?

Dadi kafilisika,mie ndio nipo on fire kuzisaka.. Hapana sio kwasababu weupe, imetokea tumejipenda automatic, toto nywele ndefuu hadi mie mwenyewe na mtamani, mtoto anapiga pharmacy muhas so, kichwani zimo, siku ukiniona nitakua nimenepa kidogo.....
 
he he he mwaka wako huu na huyo soon atakubwaga.
Nasema ole wako tuonane uwe hujanenepa
 
nawadediketia wana CC wote wimbo uitwao kilimo ni uti wa mgongo
 
he he he mwaka wako huu na huyo soon atakubwaga.
Nasema ole wako tuonane uwe hujanenepa

duh!
na wewe kwa kuniombeaga nibwagwe chini hujambo lol!
safari hii haijitokezi, mtoto katulia sio kiruka way, mtoto swala tano ana ahiba ya aibu na wivu.. Kuona unywele wake si kazi rahisi, niombee nidumu nae hata kwa miaka 27
 
Enomaki-ziggy dee
Tamala-Hardman
Nakupenda mpenzi-ze dudu
 
mm namdediketia my luv Mentor song hili:

ona hapa chini:
Mimi nataka ushirika na wewe,
ewe roho
mm nataka ushirika na wewe, tuuuu x2 wa christine shusho

na songi lingine hili hapa:

Nimekuweka mbele,
kandoni yangu,
Nimekuchagua wewe eee,
uwe wangu
wewe ni kama chemchemi
iiliyotiwa muhuri,
Ni wewe my beibe nikupendayee x2
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…