Tafadhali naomba anayetumia King'amuzy cha Continental Mkoani arusha anijulishe kama kinapiga kazi au vipi , nahitaji kununua king'amuzy mapema. Thankx All.