ITV wamo ktk decoda za dstv ambazo ni HD ila ktk orodha ya channel imeaandikwa ITWNadhani ni suala la ITV kuingia huko pia maana kama chanel 10 wapo DSTV ITV wanashindwa nini?
decoder gani naweza kutumua bila kuweka msongamano wa maantena nje?
DSTV, Azam TV, Zuku TV
zUKU tv NAONA IMESHAJIRUDIA RUDIA SANA KWENYE HUU UZI.
NANI ANAJUA CHANNEL ZILIZOPO HUMO NA BEI ZAKE?
IF YOU CAN PLEASE HELP
Kaka kwa sasa bila upendeleo AZAM TV ya kwanza na kama unataka machanneli mengi ya movies series za kibongo na Kichina UEFA EUROPA LALIGA LIGUE 1 SERIE A YA UHOLANZI basi wachukue StarTime ya DISH wamekuwa vizuri sana siku hizi aisee
105,000 hiyo ndo bei yake
Zuku on SES 5 at 5.0°E - LyngSat