Decoder ipi nzuri kati ya hizi

Decoder ipi nzuri kati ya hizi

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,556
Reaction score
4,162
Nafikiria kununua decoder ya TV but najiuliza nichukue ipi maana hawa wanaotumia antenna (star times digtec....)wapo baadh ya maeneo na wana picha nying za ndan, pia signal zao sio nzuri saaana.

Hawa wanaotumia dish(zuku azam dstv)signal ziko poa lakn hawana picha nying za ndani.

Hapa kama unajua mwenye picha nying za ndan nijulishe plz
 
nafkiria kununua decoder ya tv bt najiuliza nivhukue zipi maana hawa wanaotumia antenna (star times digtec....)wapo baadh ya maeneo na wana picha nying za ndan. pia signal zao sio nzur saaana
hawa wanaotumia dish(zuku azam dstv)signal ziko poa lakn hawana picha nying za ndan.
.
hapa kama unajua mwenye picha nying za ndan nijulishe plz

azam iko poa
 
Which one is the best kati ya azam na zuku?
 
Picha za ndani anamaanisha channel za ndani. Mimi bado credit ya kwanza nawapa DSTV baada ya hapo Azam, zuku, kisha digitek, continental, Ting na mwisho startimes.

Kama una hela mkuu endelea na DSTV
 
Which one is the best kati ya azam na zuku?

azam ndo mpango coz unaweza ku add satellite nyingine, tofauti na zuku ambao wametegesha satellite moja tu ya SES 5 na hakuna option ya kuadd nyingine kama azam
 
Ina picha ngapi za ndan kk

AZAM ina tbc1, ITV, EATV, clouds tv, channel ten, Azam 1, Azam 2, sinema zetu, ZBC kama picha za ndani. Ila unatakiwa uwe unazilipia. Kwa mfano, ukilipia leo, utapata chaneli zote, ila tarehe kama ya leo mwezi ujao, chaneli za kulipia kwenye kifurushi cha Azam zitafunga, watakupa zile za bure kwa muda wa wiki tatu, kama hautalipia basi wanafunga zote. Ila DSTV ndio mpango mzima, ila kama unazo, kama wewe ni wa kawaida, usiguse huko!kama wewe ni mwananchi wa kawaida, basi Azam itakufaa. 12500 kwa mwezi chaneli kama 50 na kitu, pia utamwambia fundi akufanyie makaratee akuungie na za fta zinazoshika kupitia Azam decoder.
 
Picha za ndani anamaanisha channel za ndani. Mimi bado credit ya kwanza nawapa DSTV baada ya hapo Azam, zuku, kisha digitek, continental, Ting na mwisho startimes.

Kama una hela mkuu endelea na DSTV

Bado hakuna channel inayofikia ubora wa ITV Kwa local channel na bahati mbaya dstv hawana ITV . km sio mpenda habari zenye ubora na zisizoegemea upande wowote dstv inatosha
 
Nadhani ni suala la ITV kuingia huko pia maana kama chanel 10 wapo DSTV ITV wanashindwa nini?

Bado hakuna channel inayofikia ubora wa ITV Kwa local channel na bahati mbaya dstv hawana ITV . km sio mpenda habari zenye ubora na zisizoegemea upande wowote dstv inatosha
 
nafikiria kununua decoder ya TV but najiuliza nichukue zipi maana hawa wanaotumia antenna (star times digtec....)wapo baadh ya maeneo na wana picha nying za ndan. pia signal zao sio nzuri saaana.

hawa wanaotumia dish(zuku azam dstv)signal ziko poa lakn hawana picha nying za ndani.

hapa kama unajua mwenye picha nying za ndan nijulishe plz

Startimes wana dish pia. Na wana channel mpya ya Swahili, yenye filamu (picha) za ndani.
Ova.
 
Nadhan digitec wanatumia madish mkuuu... Labda kama wameanza kutumia antena now
 
Startimes wana dish pia. Na wana channel mpya ya Swahili, yenye filamu (picha) za ndani.
Ova.

Performance ni nzuri kwani mwisho wa wiki nataka nijichukulie dish!

TV1 imefanya nifikie uamuzi huo ila sijawahi kutumia dish la hawa jamaa!
 
Performance ni nzuri kwani mwisho wa wiki nataka nijichukulie dish!

TV1 imefanya nifikie uamuzi huo ila sijawahi kutumia dish la hawa jamaa!

Dish huwa halibahatishi kaka. Tena kwenye startimes ya dish kuna channel nyingi zaidi ya kwenye antenna.
Ova.
 
Back
Top Bottom