Wana JF Heshima Mbele,naomba muongozo kati ya TV Decoders zilizopo ipi inaongoza na nzuri kwa maana ya programs zane, inaburudisha,kuelemisha,inafundisha na kustarehesha?(TBC-Star Media;Easy TV;Zuku TV)
Dstv au mytv

utakuwa huna ubongo huwezi kuomba msaada kwa jambo dogo kama hili.
haya jibu basi wewe mwenye ubongo tukuone. Usije ukawa unajifanya unajua wakati haujui lolote lile usije jifanya mjanja na unajua ww??
utakuwa huna ubongo huwezi kuomba msaada kwa jambo dogo kama hili.
ushauri kuhusu decoder nzuri tanzaniaWana JF Heshima Mbele,naomba muongozo kati ya TV Decoders zilizopo ipi inaongoza na nzuri kwa maana ya programs zane, inaburudisha,kuelemisha,inafundisha na kustarehesha?(TBC-Star Media;Easy TV;Zuku TV)