Deci......fedha ziko wapi??

Na wewe ulipanda mzee? Umefikiria nini mpaka ukaleta uzi huu, manake ni long time au ndiyo ukata umebisha hodi?[/QUOTE

HAHAHA, watu wengi wa karib sana walipanda mbegu za kutosha, afu hawakuvuna kitu??
 
Tatizo ni kuwa hata waliopanda nao walifanya makosa kwani sheria inakataza kujihusisha na pyramid scheme. Hivyo nina uhakika hiyo hela haitorudishwa.
 
Tatizo ni kuwa hata waliopanda nao walifanya makosa kwani sheria inakataza kujihusisha na pyramid scheme. Hivyo nina uhakika hiyo hela haitorudishwa.

Walihamasishwa na waziri ili wapate faida kubwa.
 
Na taabu ni kuwa watanzania wengi tu wepesi mno wa kuamini haraka - iwe miradi kama ya upandaji mbegu, wawe waoteshwa ndoto, watabiri nyota, dini lukuki zinazoanza kutwa kucha na wachungaji wao wenye ndimi mahiri, nk - wote wanapata makundi makubwa ya kuwaamini na kuwatapeli! Hata elimu haitusaidii sana kwenye jambo hili, kwani miongoni mwa wanaotapeliwa wamo wasomi sana.
 
wale wachungaji wanaroho mtakatifu ipo ck zitarudi maana cc kamari riba wizi madangulo tumehalalishiwa kwani 2naupako mt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…