Young Gwala
Member
- Mar 21, 2017
- 25
- 9
Hivi kwa muda huu wengi wetu hupenda kubuni tabia za ugeni na kutembea ili kuzuru maeneo mapya. Hivi sehemu gani haswa tanga waeza toka na ukajinafsi na ukala bata?
Unlimited responses expected wadau. Sehemu zote za raha zote mjini tanga naomba utuchanue. Kikundi changu cha kazi tumeamua kwenda holiday uko so advice zenu sana tu. Tajeni kote kwanzia chochoro hadi hotels, za kila aina na namna. Karibuni