mnhhhhhh ni vizuri ku flirt...ila ukienda Zaidi ya hapo,usiseme hatukukwambia...bye.
Yuko wapiii..... Muite umupe tank bora na yeye akutunuku kumi boraa.... Iweee, boojooh.... Mmmh.
Naomba offer ya pedicure shost wangu mi.mpaka sasa hivi sijapewa zawadi yoyote .Ajee Miss....!!?
Hahahahhahaaa ilisemwa na ilionywa na ilitahadharishwa kwa umma kuwa; Kila mtuna ajiponye nafasi yake mwenyewe.....
Haikuonywa mtu aponye / allow nafsi ya mwingine.
Dadii pia alishaniambia nikiendelea zaidi nisijemwambia kuwa hakuniambia....
Kasie Mtata.
Naomba offer ya pedicure shost wangu mi.mpaka sasa hivi sijapewa zawadi yoyote .
Naona umejiandaaa...haya bwana..wanawake wengi wanajifanyaga vipofu hata wakiona red flags...usije kusema ninamtaka dadii wako bure...kwa heri.
Hehehehehhe mie sijiandaagi hata kidogo. Niko hivihivi muda wote.
Red flags ziko kwenye mambo mengi tuu duniani sio Mahaba pekee na huko pia watu wanazifumbia macho wake kwa waume..... Sababu ya kufanya hivo Kila mtu anaijua nafsini mwake.
Halafu ujue Dadii ana nyota ya kutakwa na wengi, kufatiliwa na wake kwa waume, kuna wanao mhusudu, na yeye ana vitu vyake anavyovipenda, wengine anawacharaza tuu sababu akiwaacha wanamng'ing'a kuwa doroo kumbeee nanasi.... (Asiyeelewa maana ya nanasi muulizeni Dadii msijeweka maana zenu mkatukana wapenzi wenu, shauri zenu heheheheh).
Kasie Kaboka Mchizii Matata.
Kasie aka mingimingi.
Kasie Dadii.
Usisahau kupitisha na kwangu huo muamala mama wa dadii eehNipe namba ya muamala PM nikupunguzie nilizopewa na Dadii maana mwezi una matumizi Huu...., inaweza isitimie ila walau utajazia au mwingine anaweza akajazia ukapata huruma ya mikononi na miguuni.
Cool, niko na enjoy 'matata' yako hapa.Ooh yeah Chelu what's up!!
Tununu...Twambombo?
Hivi kwa mfano huyo Dadiiii akakuacha utabadili na Jina maana hata kwa Smart ilikuwa hivi hivi japo siombei itokee.
Acha njaa wewe..Usisahau kupitisha na kwangu huo muamala mama wa dadii eeh
Kusinda vihi mnyangu, kuyumba hawajambo longa mndele sikukuu kwako iyedi 🤣🤣🤣🤣🤣. Umeanza kuwa toto tundu eeeh?