Brorey71
JF-Expert Member
- Apr 30, 2020
- 655
- 139
Hivyo wenzetu wameshinda katika mtandao wa JF wakitoa matamshi kwamba Wakenya ni watu wanaopenda kujifanya wajuaji na wenye maongezi mengi.
Ajabu ni kwamba takribani nyuzi zote zinazolenga Habari za Kikenya, wachangiaji asilimia kubwa ni wenzetu kutoka Tanzania. Maongezi yao mengi imeweka dhahiri kwamba hawana hoja zozote ndiposa wanapatikana kotekote.
Tutulie tujijenge.