Debe tupu haliachi kutika

Brorey71

JF-Expert Member
Apr 30, 2020
655
139
Hivyo wenzetu wameshinda katika mtandao wa JF wakitoa matamshi kwamba Wakenya ni watu wanaopenda kujifanya wajuaji na wenye maongezi mengi.

Ajabu ni kwamba takribani nyuzi zote zinazolenga Habari za Kikenya, wachangiaji asilimia kubwa ni wenzetu kutoka Tanzania. Maongezi yao mengi imeweka dhahiri kwamba hawana hoja zozote ndiposa wanapatikana kotekote.

Tutulie tujijenge.
 
Kwani una catch mkuu.

Mwenyewe unafahamu Huko kt hatuwezi socialise openly kama ilivyo hapa, juu mna forums za makabila mbali mbali
 
Kwani una catch mkuu.

Mwenyewe unafahamu Huko kt hatuwezi socialise openly kama ilivyo hapa,juu mna forums za makabila mbali mbali
Angalau kwa mara moja hoja ibadilike. Ila sicatch...nipo kuwaelewa wote
 
Najua hili halitapokelewa kwa shangwe, ila wazungu ambao bila pingamizi wametupiku (manake wameungana kinamna fulani) , hatupati kujifunza kutokana na haya japo hatuwapendi. Elewa baniani mbaya kiatu chake dawa. Though we know they hate us, it doesn't mean we can't learn something from them.

Development is steered through unity .
 
Mambo yao waachieni wenyewe...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Cc: mahondaw
Nadhani tunaweza kupatana kwa jambo moja. Kwamba tuepuke mabishano na badala yake tufanye maongezi yanayotufaidi.
Iwapo rais yeyote kwa kweli ana ujuzi kumliko mwenziwe, la muhimu ni kumpiga pampaja na kumuiga. Sio eti kujipiga kifua...times change
 
Naunga mkono hoja yako. Kuna nyuzi ambazo hamna comment, hata moja tu, kutoka kwa wakenya. Humo ndani wanajiona wajanja wakisema wakenya ni wajinga na eti wakenya wanapita kimya kimya. Hoja zenyewe humo ndani ni za ajabu ajabu, za kujimwambafy kwa kusema Tz baba lao. Bila kutaja ni ubaba upi haswa, wa kiuchumi, kibiashara, kidemokrasia, who knows? Ila kilichonistaajabisha zaidi ni kwamba kuna uzi ambao ukurasa wote wa kwanza wanaume na midevu yao wanazungumza kuhusu kufirana. Am like WTF? Ni kweli kwamba debe tupu haliachi kutika, na wakenya nao hawapendagi ujinga.
 
unapoziacha halafu Unakuja kusemea pembeni,ni kama kweli unakuwa umepita bila kusimama.

Na ni kweli maneno yao yanakuwa yamekuchapa mpaka umecatch,anyway sisi furaha yetu ni kukukera wewe mkenya.sababu unajifanya unajua na hujui.

Kamsikilize mc tricky kwenye interview usikie anasemaje kuhusu tabia za nchi 5 EA.kuna kitu utaongeza tena.
 
Unapoziacha halafu unakuja kusemea pembeni,ni kama kweli unakuwa umepita bila kusimama.

Na ni kweli maneno yao yanakuwa yamekuchapa mpaka umecatch,anyway sisi furaha yetu ni kukukera wewe mkenya.sababu unajifanya unajua na hujui.

Kamsikilize mc tricky kwenye interview usikie anasemaje kuhusu tabia za nchi 5 EA.kuna kitu utaongeza tena.
Kusema ukweli sikujua kwamba huku kujaza threads kote ni kwa minajili ya kumkera mkenya ambaye kwa udogo wake mnavyosema hampaswi kushughulika kabisa!

Na kuhusu huko kupita mabishano yasiyo na manufaa. He who argues with a fool is a fool.
 
Volume kaka, huku nyuma hatusikii vizuri
Najua hili halitapokelewa kwa shangwe, ila wazungu ambao bila pingamizi wametupiku( manake wameungana kinamna fulani) , hatupati kujifunza kutokana na haya japo hatuwapendi. Elewa baniani mbaya kiatu chake dawa. Though we know they hate us, it doesn't mean we can't learn something from them.
Development is steered through unity .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unapoziacha halafu unakuja kusemea pembeni,ni kama kweli unakuwa umepita bila kusimama.

na ni kweli maneno yao yanakuwa yamekuchapa mpaka umecatch,anyway sisi furaha yetu ni kukukera wewe mkenya.sababu unajifanya unajua na hujui.

kamsikilize mc tricky kwenye interview usikie anasemaje kuhusu tabia za nchi 5 EA.kuna kitu utaongeza tena.
Ikiwa upo JF kukera wengine na wala sio kujiongeza maarifa tofauti yako na huyo mnyama kwenye avatar yako itakuwa ni hio smartphone..
 
A forward thinking dude. I second this thread. Kusema ukweli baadhi watanzania wengi wanapenda kupingana ama unnecesary debates. Nilisoma na wengi chuo kikuu, wanaeza argue the whole night kwa mambo yasio na maana., ama kujionyesha eti ako sawa ata kama anaumia. Nawaelewa wengi walio humu jf.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa upo JF kukera wengine na wala sio kujiongeza maarifa tofauti yako na huyo mnyama kwenye avatar yako itakuwa ni hio smartphone..
màarifa yanatafutwa hapa Kenyan forums

Nyinyi mnaofunga mipaka kuzuia corona halafu mnaacha malori yapite.
 
Kusema ukweli sikujua kwamba huku kujaza threads kote ni kwa minajili ya kumkera mkenya ambaye kwa udogo wake mnavyosema hampaswi kushughulika kabisa!

Na kuhusu huko kupita mabishano yasiyo na manufaa. He who argues with a fool is a fool.
Kama ukweli inakukera sisi hatutaacha kukueleza sababu unakereka, tuliwaambia uhuru amechukua hatua mbovu,na atakuwa wa kwanza kuomba maridhiano mkabisha.

Nani kichaa kati yetu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom