Debate/mdahalo kuhusu Umaskini wa Tanzania

Singidan

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
880
937
Habari wana JF. Itifaki imezingatiwa.

MADA:Tanzania ni nchi masikini kwa sababu utajiri wa rasilimali zake unaliwa na wachache?
 
Nimeona jf debate nikaja mbio ...nikakuta topic ya kwenye vijiwe vya kahawa. Next tym ..
 
TEH TEH Naomba ushiriki kwenye mkanasha sasa....
Mimi nasema ni kweli tanzania ni nchi masikini kwa sababu rasilimali zinaliwa na wachache mfano Walimu wameongezewa mishahara minono kima cha chini ni 500000 lakini sisi wa kada nyingine tumeachwa...!
 
Hizo digits hizo usinipe uchizi mie...
Mie sina cha kuchangia sijaelewa hii spechal thread sijui namie ni kilaz * teh
 
jamani wadau naomba mnisaidie nimefungua blog kama wiki mbili zilizopita lakini huwa kuna vitu wananiomba kama kadi ya visa (namba) adress sasa nashindwa kuelewa hizo ni zipi na nitaziunda vip,naombeni msaada wenu.
 
Back
Top Bottom