gkileo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 1,096
- 487
Habari wana JF. Itifaki imezingatiwa.
MADA:Tanzania ni nchi masikini kwa sababu utajiri wa rasilimali zake unaliwa na wachache?
Utajiri hauletwi na rasilimali za Asili !
Bali na watu wenye AKILI na wachapa Kazi .
Ukiwa na rasilimali lkn Akili hakuna , Rasilimali zako zitatwaliwa na wenye Akili, huku ukiambulia sifa tu!
Kuna nchi nyingi Tajiri ambazo hazina rasilimali Kama TZ .