Debate kati ya Zitto na Lema.

Debate kati ya Zitto na Lema.

sixgates

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
3,979
Reaction score
1,667
Siku za karibuni pamekuwa na mvutano kati ya waanasiasa machachari Godbless Lema na Zitto Kabwe ambayo kwa kiasi kikubwa imeanzia kwenye mitandao ya kijamii na ambapo issue ya Posho ilikuwa ni immediate factor ya tofauti baina ya Zitto na Lema. However Lema na kundi lake wamekuwa wakimpaint Zitto kama "snitch" ndani ya chadema. Na kundi la Zitto limekuwa likirespond toward the so called "trivial allegations" kuwa Lema hana hoja anatumika tu kumchafua zitto

Jana pamekuwa na malalamiko kuwa Zitto kabwe kapewa enough air time na Cloudsfm kuongea so pamekosekana balanced story na pamekuwa na hoja Za upande mmoja.

Ombi letu tunaomba debate ya hawa vijana wawili, ikiwezekana tuombe kipindi "cha tuongee asubuhi pale star tv" ama hapa hapa JF. Pembeni akae GODBLESS Lema na pembeni Zitto Kabwe. Tuamue uwezo wa hawa vijana kwa hoja na sio siasa za kusaidiana na kuchafuana. Jana Zitto kasema yeye ndie kamfundisha Lema siasa, na tuone kati ya mwalimu na mwanafunzi.

Mods naomba kama itawezekana muwasiliane na hawa vijana machachari debate ikifanyikia hapa JF litakuwa ni jambo jema zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa nini usiombe Debeti ya kujadili Tanzania kuto kufanya vizuri EAC? kwa nini Kenya imewekeza sana Tanzania kuliko Tanzania ilivyo wekeza Kenya? Je hao Zitto na Lema wana faida gani?
 
Hili ni suala la CDM sasa nyie mnaoitaka debate ni kwa manufaa ya nani?

Kuna namna nyingi ambazo chama kinatumia kuwapima watu wake pale inapohitajika na inabaki ni kwa masrahi ya chama,sasa hapa nyie ni kwa masrahi ya nani? mkinijibu hili kwa usahihi ntakuwa tayari kurudi kuangalia hoja.
 
Hii nchi kwisha kazi yake, nguvu kazi ya taifa kutumia muda mwingi kujadili majungu wakati kuna mambo ya muhimu kwa Taifa, kuna siku hata kama ni baada ya miaka 30 tutakuja kukumbuka sana huu muda unao potea kwa kupiga majungu.
 
Mkuu kwa nini usiombe Debeti ya kujadili Tanzania kuto kufanya vizuri EAC? kwa nini Kenya imewekeza sana Tanzania kuliko Tanzania ilivyo wekeza Kenya? Je hao Zitto na Lema wana faida gani?

Wewe usinipangie debate nazozitaka, ungeomba wewe hiyo ya east africa. Wewe kama huoni faida ya debate kati ya zito na lema basi waachie wenzako wanaopenda. By the way since when umekuwa JF member's spokeswoman?
 
Badi katika watu wa kufanya debate na lema yumo?

Su atamkwida kwa ngumi
 
Siku za karibuni pamekuwa na mvutano kati ya waanasiasa machachari Godbless Lema na Zitto Kabwe ambayo kwa kiasi kikubwa imeanzia kwenye mitandao ya kijamii na ambapo issue ya Posho ilikuwa ni immediate factor ya tofauti baina ya Zitto na Lema. However Lema na kundi lake wamekuwa wakimpaint Zitto kama "snitch" ndani ya chadema. Na kundi la Zitto limekuwa likirespond toward the so called "trivial allegations" kuwa Lema hana hoja anatumika tu kumchafua zitto

Jana pamekuwa na malalamiko kuwa Zitto kabwe kapewa enough air time na Cloudsfm kuongea so pamekosekana balanced story na pamekuwa na hoja Za upande mmoja.

Ombi letu tunaomba debate ya hawa vijana wawili, ikiwezekana tuombe kipindi "cha tuongee asubuhi pale star tv" ama hapa hapa JF. Pembeni akae GODBLESS Lema na pembeni Zitto Kabwe. Tuamue uwezo wa hawa vijana kwa hoja na sio siasa za kusaidiana na kuchafuana. Jana Zitto kasema yeye ndie kamfundisha Lema siasa, na tuone kati ya mwalimu na mwanafunzi.

Mods naomba kama itawezekana muwasiliane na hawa vijana machachari debate ikifanyikia hapa JF litakuwa ni jambo jema zaidi.

Hakuna cha debate hapo!Ifanyike debate kwa faida ya nani?yako?Haya mambo yataamuliwa na vikao halali.
 
Last edited by a moderator:
Wewe Sixgates hapa sio CCM,nenda kawapambanishe viongozi husika juu wizi wa nyara za serikali-tembo 61 wanaangamia kila siku....! Washauri CCM wafanye huo mdahalo na waziri kivuli wa CDM kwa faida ya wanainchi,kama kweli unataka mabadiliko ya fikra na uwajibikaji.
Wewe ulishafukuzwa CDM, inakuhusu nini siasa za CDM hata utake kuwa na mdahalo wa posho za wabunge.....??? Umeliona hilo ni la maana sana kuliko hao tembo 61 wanaopote a kila siku....???? THINK BIG p/se...!!!
 
hahahaha lema atakimbia kabisa na atasema ana shughulikia case ya zile picha.
 
Niliwahi kuomba hii kitu kwenye andiko langu moja, Lakini Mkuu sixgates hapa unamuonea Lema, na sisi uonevu hatutaki! Labda Tuombe Mdahalo kati ya LEMA na LUSINDE, CHADEMA hakuna wa kuingia debate na Zitto tutakuwa tunamuonea Godbless J Lema bure , Zitto saizi yake ni akina January Makamba au akina Kitila Mkumbo etc
 
Wewe Sixgates hapa sio CCM,nenda kawapambanishe viongozi husika juu wizi wa nyara za serikali-tembo 61 wanaangamia kila siku....! Washauri CCM wafanye huo mdahalo na waziri kivuli wa CDM kwa faida ya wanainchi,kama kweli unataka mabadiliko ya fikra na uwajibikaji.
Wewe ulishafukuzwa CDM, inakuhusu nini siasa za CDM hata utake kuwa na mdahalo wa posho za wabunge.....??? Umeliona hilo ni la maana sana kuliko hao tembo 61 wanaopote a kila siku....???? THINK BIG p/se...!!!

mkuu debate itasaidia sana na itawajenga wote na si lazima watu wawe vyama tofauti. na ikiwezekana lema asaidiwe na kamanda Henry Kilewo.
 
Last edited by a moderator:
Wewe Sixgates hapa sio CCM,nenda kawapambanishe viongozi husika juu wizi wa nyara za serikali-tembo 61 wanaangamia kila siku....! Washauri CCM wafanye huo mdahalo na waziri kivuli wa CDM kwa faida ya wanainchi,kama kweli unataka mabadiliko ya fikra na uwajibikaji.
Wewe ulishafukuzwa CDM, inakuhusu nini siasa za CDM hata utake kuwa na mdahalo wa posho za wabunge.....??? Umeliona hilo ni la maana sana kuliko hao tembo 61 wanaopote a kila siku....???? THINK BIG p/se...!!!

mkuu debate itasaidia sana na itawajenga wote na si lazima watu wawe vyama tofauti. na ikiwezekana lema asaidiwe na kamanda Henry Kilewo.
 
Last edited by a moderator:
Wewe usinipangie debate nazozitaka, ungeomba wewe hiyo ya east africa. Wewe kama huoni faida ya debate kati ya zito na lema basi waachie wenzako wanaopenda. By the way since when umekuwa JF member's spokeswoman?

Si umeshaambiwa mambo ya chadema hayakuhusu sasa unan'gang'ania nini?
 
Wewe usinipangie debate nazozitaka, ungeomba wewe hiyo ya east africa. Wewe kama huoni faida ya debate kati ya zito na lema basi waachie wenzako wanaopenda. By the way since when umekuwa JF member's spokeswoman?

Acha ujinga wewe, umekalia majungu tu, mwaname kama mwanamke, Taja faida ya hiyo Debeti kwa usatawi wa nchi hii. Kutwa nzima ni majungu tu na kukuza vitu, nyie ndo mnakaa kuzoom sisimizi awe mkubwa kama tembo
 
Back
Top Bottom