donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
-
- #21
Aiseeeeeeeee
Kwa maoni yangu, kuna kitu wale wanaokaribia kufa wanaona lakini kukielezea ndio inategemeana na mtu mwenyewe. Ninakumbuka marehemu mzee wetu katika safari yake ya mwisho alikataa kwenda hospitali huku akisisitiza kuwa hatapona na angependa afie nyumbani bila kutuingiza gharama zisizo za lazima. Na hii ilikuwa baada ya kuzunguka sana hospitalini. Kwa kiburi yetu watoto na kama mjuavo mgonjwa ni kama mfungwa hachagui gereza, alipozidiwa tukakimbia naye hospitali. Wiki haikuisha tulirudi na jeneza nyumbani.
Siku ya kufa sasa, marehemu alikuwa hataki tuondoke kitandani kwake as if kuna kitu anataka aseme lakini hakuwa anasema. Ile tukiaga tu anasema msiondoke kwanza. Mpaka manesi ndio walikuja kutufukuza kwa lazima. Na tulipoondoka tu hazikupita dk50 mzee wetu aliaga dunia.
Ukiweka dini kando ni kwamba unapokufa ndo mwisho wako. Mwili unafukiwa ili usitoe harufu. At the end unakuwa mchanga. Ni nini zaidi ya hapo.
Jiulize roho zinazo zaliwa zina toka wapi na roho zinazo kufa zinakwenda wapi? Jiulize pia miili inayo vikwa roho zinazo zaliwa inatoka wapi na miili inayo kufa daima hurudi mavumbini Kama dini zinavyo erekeza. Swari!? Inakuaje mtoto anaye zaliwa ana fanana na marehemu wa miaka mingi sana Eidha ni Babu yake ama Bibi yake?
Are you predicting your demise?.Za jioni wakuu,
Nimekua najiuliza kwa muda mrefu sana myths mbalimbali zinazo surround kifo. Kweli katika mambo ambayo Mungu wetu alituficha ni hilo. Kuna wengine wanatheories zao wakisema at moment of death ile kabla mtu hajakata roho within a flash of seconds anaona zile good memories zake before he/she dies. Kweli death is scary, na inasemekana before your soul is taken kuna maumivu matata sana lazima uyasikie. If only we could know or days daah, mtu unakuta ashapanga plans zake kibao kumbe usiku huo ndio siku yake aliyoandikiwa and its obvious you can't cheat death. Unakoswa koswa na ajali unakuja kuangukia bafuni n' off you die! Hua najiuliza sana, when my time will come itanikuta katika hali gani? Niko bar? Kanisani maybe? Nimelala? Yaan sometimes when you think of which way ya soul is gon be taken unaweza ukakosa raha. I only hope that I'l be in peace with my God before I die because its the end that matters. Unakuta mtu alikua mtenda mema maisha yake yoote, siku hiyo akafanya uovu kidogo hata kukasirika tu akaondoka tayari msala huo. And for those like us who we believe in the after life, daah sijui itakuaje. Will we be able to see our deceased friends and family? Oh, lord have mercy on our souls!
Are you predicting your demise?.
Kuna simu nilitaka piga hapa nimeahilisha,umenipa hofu gafla
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums