Death toll over 500 in the Philippines following typhoon

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
Rescuers were digging through mud and debris Friday to retrieve more bodies strewn across a farming valley in the southern Philippines by a powerful typhoon. The death toll from the storm has surpassed 500, with more than 400 people missing. More: http://nbcnews.to/UK6alM

Photo: Bullit Marquez / AP

Asante kwa habari hizi. La ziada, naona kama Avita yako ya huyo mbuzi hapendezi, waonaje ukichukua kati ya hizi hapa?? Ni ushauri tu!!!

Goat V.jpg GOAT IV.jpg Goat III.jpg Goat II.jpg mountain-goat.jpg
 
Inapendeza na hicho kishungi na ndevu zake, ubarikiwe!!
 
Dah my condolences kwa wafiwa wote Mungu azilaze soul zote zilopotea kwa amani, jamani tumshukuruni Mungu kwa kutuepusha na haya majanga mazee ni msala mkubwa sana ase, do we thank God wana JF? if NO yatupasa kuanza. Alafu we mbuzi na mamdogo wacheni mambo ya ajabu watu wanakufa huko badala ya kuonyesha sympathy mnaanza ongelea ma avatar.
 
Ndugu Hoshea, nakuhakikishia kuwa nina masikitiko makubwa kwa msiba huu mkubwa uliowakumba walala hoi wenzetu wa huko Philipines, na hapa naleta picha kwa msisitizo (Dramatic twist: Typhoon Bopha to strike Philippines again (PHOTOS) — RT). Samahani sana kwa wadau wote waliokwazika kutokana na kudivert mada na kuanza kumpa ushauri kaka Mbuzi Mzee ni kweli ile picha ya uwakilishi wake. Kwa upande wangu nilikuwa naiona haiendani na dhana ya Mbuzi Mzee, na nilichofanya ni kumpa picha za mbuzi kadhaa wazee nilio nao katika archive yangu, na sina uchoyo, hata wewe naweza kukutafutia mchoro/picha ili uondokane ni hicho kikombe chenye jani la bangi/bange/marijuana/canabis au ganja.

area-swamped-mud-brought.jpg faces-covered-coffins-typhoon.jpg workers-clear-typhoon-bopha.jpg
 
no thanks mama yangu mdogo i love weed and coffee and i have to represent em kwa avatar, usimwambie mama, happy independence day
 
Ndugu Hoshea, nakuhakikishia kuwa nina masikitiko makubwa kwa msiba huu mkubwa uliowakumba walala hoi wenzetu wa huko Philipines, na hapa naleta picha kwa msisitizo (Dramatic twist: Typhoon Bopha to strike Philippines again (PHOTOS) — RT). Samahani sana kwa wadau wote waliokwazika kutokana na kudivert mada na kuanza kumpa ushauri kaka Mbuzi Mzee ni kweli ile picha ya uwakilishi wake. Kwa upande wangu nilikuwa naiona haiendani na dhana ya Mbuzi Mzee, na nilichofanya ni kumpa picha za mbuzi kadhaa wazee nilio nao katika archive yangu, na sina uchoyo, hata wewe naweza kukutafutia mchoro/picha ili uondokane ni hicho kikombe chenye jani la bangi/bange/marijuana/canabis au ganja.

View attachment 74244View attachment 74251View attachment 74250

Thanks Mama Mdogo for clarifying and the post.
 
Back
Top Bottom