englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Mkuu miaka gani hii na nchi ipi? Thubutu kukutwa!!
Mzee hadi wanikalishe kwenye hicho kiti, sijui!Na Bwana P..p.si teh hii kali sana.
Mzee hadi wanikalishe kwenye hicho kiti, sijui!
Kaka hili tukio ni la kibabe, imagine ungekuwa wewe halafu huyo askari mbele yako akupe nafasi moja ufunguliwe ukabiliane na huyo jamaa nyuma yako akikushinda unyongwe na ukishinda uachiwe. Hizo kuta zitaanguka mkuu!Ahhaaahahaha nimecheka kwa sauti mkuu
Kaka hili tukio ni la kibabe, imagine ungekuwa wewe halafu huyo askari mbele yako akupe nafasi moja ufunguliwe ukabiliane na huyo jamaa nyuma yako akikushinda unyongwe na ukishinda uachiwe. Hizo kuta zitaanguka mkuu!
Mzee hadi wanikalishe kwenye hicho kiti, sijui!
Mkuu inanikumbusha story moja; jamaa mmoja alikuwa mbabe na muonevu sana kijijini, siku moja chui kaua mbuzi na vijana wakaamua wakamsake. Ile wanaingia porini tu wakamuona, nani amfuate????? Yule mbabe kajitolea kwa kuwaasa wenzie kuwa akimkabili tu waende wakampe nguvu, jamaa kupiga hatua 10 tu, chui huyu! Akamshika miguu ya mbele wakaanza kuzungushana huku akiita njooni: wenzie wakadakia "Pambana nae tu we si mbabe" wakamsaliti. Vijana wakamuacha na kurudi kijijini, wakaulizwa na wazee kuwa imefikia wapi na kujibu tumempata tumemuacha anapambana na mbabe mwenzie. Wazee ndo wakaenda kuokoa jahazi wakakuta jamaa kaelemewa mbaya!Mkuu hapo ata wakifanikiwa kweli izo kuta zitakua chini na wataitana wote
Chezea kuvuta oxygen mkuu, hapa nguvu ndo zitakupungua bila hivyo hapatoshi!Yaani hapo utapambana kuitetea nafsi yako.
Mzee hadi wanikalishe kwenye hicho kiti, sijui!
Mkuu unakaa ili iweje sasa, unafikiri hapo kinyozieee!!Lazima ukae huoni mtutu hapo mbele.
Bora kufa kwa risasi aisee.Lazima ukae huoni mtutu hapo mbele.