Kopi ya fomu ya mkopo siunayo? Nenda ukascan tena hizo attachments Kisha tuma tena.Hili limenikuta katika fomu yang ya mkopo. Ambayo jana helsb walitoa list ya majina ya wanafunzi ambao fomu zao zina .arekrbisho..
Ila mimi vyetu vyote vilipita Rita na kwa mawakili .
Nilikua nauliza hapa tatzo litakua wap?
Una aplodi missed attachments tu ulizoelekezwa na BodiItabdi tutume tens...yaani tuaanze upya tena au...sijaelewa kidgo