Nop
Najua nimeandika kwa codes.
Ila huu uzi hauna chembe hata moja ya Mahaba ya kitandani wala mambo ya katerero. Ndo maana sijaweka K Matata wala K Mahaba.
Acha niishie hapo codes zinatakiwa zibaki na amani iendelee kuwepo.
LABUDANakupulizia X-pel halafu nakumwagia asali 😜
😂❤️Umenifunza mambo mengi sana ikiwemo kuacha kuvuta ban-nge
Kasie mambo Ya code yameanza lini lkn.
Kasie na mahaba, mahaba na kasie sasa kama umekua mkufunzi kwenye sekta yako si utujulishe tumjue coach😂😂
Tumtakie majukumu mema mkufunzi, kama itampendeza tunaomba unlock code yeye mwenyeweAahahahahhaaa akinipa kibali nije kutoa codes ntasimulia ama laah ntakuwa nimeuza siri ya kambi.
Ibaki tuu Mkufunzi amenifunza vyema nami nimefuzu.
Huyu coach bin Mkufunzi simuweki hadharani hata kidogo yuko busy sana na majukumu ntakuwa nimemkwaza.
He is one in a million to get his time.
Tumtakie majukumu mema mkufunzi, kama itampendeza tunaomba unlock code yeye mwenyewe
Natumaini hukua kilaza kwenye kusomeshwa
Nakuunga mguu kasie akiwa mvivu niite tu naja tufunge mlango ndani huko tutajuana wenyewe 🍾Ndiiwooio.
kuuumbe ulikuwa unalipuliza Best?? Ndo maana hukasirikagi?? Yaani hata mtu akikujibu shit!!! Unachekaga tu!!! Bange hapo zimekukolea!!! Ile kitu kuacha ni ngumu sana hallow.Mkufunzi,
Natumaini umesherehekea sikukuu salama. Dhumuni la huu uzi ni kusema yaliyo moyoni mwangu kabla mwaka 2021 haujaingia.
Tumefahamiana hapahapa JF ila wewe ni mkufunzi haswa, lengo si kumwaga kuku kwenye magunia ya mpunga laah hasha bali waelewa... nikiweka ujumbe huku halafu nikakutupia link ya huu uzi wasap najua utakuja kusoma.
Mkufunzi hakuna siku nimeacha kukupenda, (I liked you for real and I love the way you drive in my dreams...) sijui utaniona kigeugeu ila uwepo wako kwenye maisha yangu nauthamini sana sana sana. Umenifunza mambo mengi sana ikiwemo kuacha kuvuta ban-nge
Baada ya kipindi cha pili cha mwaka huu nimekuwa nikikusumbua sana hatimaye nilifanikiwa kutimiza ahadi moja ya tatu nilizokuahidi.
Najua vile umetingwa na kazi ila ningetamani kabla mwaka mpya haujaisha uniruhusu nimalizie zile ahadi mbili nilizisema kwako.
Wako raia mtiifu,
Dada Kasie wa Mkufunzi 😉
NB: Ikiwezekana tafadhali kuanzia sasa usiniite tena dada Kasie bali Mkufunzi Kasie kwani tayari nimetunukiwa kitivo. 🥂
(Luv You) 💋.