Aliyeelewa anisaidie kunielewesha πAchana nao japi uliniitaga malaya ila umeshapenda tulia uoe maisha nikujenga umejenga au mtaenda kupangisha unagari au ndio unatumia bolt magari ya wenzako kwa mwezi unauwezo wakuingiza sh. Ngapi rafly yaani hiyo ni ya chai tu .
Inaonyesha unarasha rasha yakutishia wenzako je unazo kweli ?? Mpaka iwe mafuriko ya hanang?? Unajua mie ndio msimamizi wa harusi. Je unaweza inshu ngapi kwa siku nzima ukiamulia isije mtu akarudisha mabegi huwezi.
Umemuanza mwenyewe da mau tulia akupe makavu π€£π€£π€£π€£Usinichose bwana.
Huyu nammudu vyedi kabisa. Naweza kumtibua na kumtuliza. Hapindui hapaUmemuanza mwenyewe da mau tulia akupe makavu π€£π€£π€£π€£
Kwa hiyo inakuumaInatia huzuni na hasira kusoma nyuzi kama hizi zinazo wajaza sifa wanawake humu JF.
Na mwisho wa siku hakuna wanachopata, nguo za ndani anavuliwa mshkaji ambae hata number yake haja save.
Kaogopa hata kusema chupi, kasema nguo za ndaniππ.Kwa hiyo inakuuma
why kaka yangu na sio mtoa mada?Ukisema dada mkubwa, mimi ni nani hadi nipingeππ
Ila niambie kwanini awe huyo ma sio mleta mada
π€£π€£π€£π€£Huyu nammudu vyedi kabisa. Naweza kumtibua na kumtuliza. Hapindui hapa
Wajinga hawa madogoWanazingua sio kidogo. Jitu linakaa kuandika maneno meengi, lakini pm wanashindwa kwenda. Sijui wanafeli wapi aisee
Niachie mwenyeweπ€£π€£π€£π€£
Muoe tupumzike π€£π€£π€£π€£Niachie mwenyewe
Wewe ni Intelligent businessman na jinsi unavyonijibuHuyu nammudu vyedi kabisa. Naweza kumtibua na kumtuliza. Hapindui hapa
SimtakiMuoe tupumzike π€£π€£π€£π€£
Asee ni fedheha shobo zinaeza fanya mjione wazuri afu mtongozo uwe mgum.ππ familia mna fujo.
Arrgh, shinski sebelWewe ni Intelligent businessman na jinsi unavyonijibu
πππAcha ugomvi, isije wewe na kaka yako huyo (kama sio mimi) mkajikuta majeruhi π
Acha ugomvi, isije wewe na kaka yako huyo (kama sio mimi) mkajikuta majeruhi π
Ongea kiswahili mzee baba nisije pasua hako kamashine ni tenganishe mkeo aje Nuzulati kunililia hapa nipo nashokaArrgh, shinski sebel
Ahahah..hapana hapana wasije sema natimiza mashart ya kupata utajiri walimwenguMuoe tupumzike π€£π€£π€£π€£
Kwann da mau mbona anaonekana ana mipesa πππSimtaki
Yale mimi ndio master wake huwa namfundishaπππ
May peace reign mkuu ila binti akimuelewa kakangu wewe ndo atakayekufanya majeruhi na yale mateke yake ya Van Damme alompiga nesi ππ
We kunywa dawa umalize doziWewe ni Intelligent businessman na jinsi unavyonijibu