Dear Miss Leejay49

Sio huyu walio wengi humu ni either watoto au waoga sana, hii kujichekesha ndio huwa last option kwao ukiwabana kama hivi ndio anakimbilia kusema usichukulie serious, wakati migenye inamsumbua ana stress za mahusiano kama zote
Wanazingua sio kidogo. Jitu linakaa kuandika maneno meengi, lakini pm wanashindwa kwenda. Sijui wanafeli wapi aisee
 
Tulizana tu mamii, hiz habar zote ni ndogo sana. Kaa kwa pozi usipate tabu hata. Amehlo mimi sina show mbovu, kila kizur kilichoko kwenye market, please mpe wifi yako Lee kipaumbele na invoice zinifikie kwa wakat asije akakasirika, sitafurah akinuna
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚anza na vilivyopo leoπŸ˜‚πŸ˜‚ namba inayopokea hela unaijua

maneno kdg pesa ming
 
Sio huyu walio wengi humu ni either watoto au waoga sana, hii kujichekesha ndio huwa last option kwao ukiwabana kama hivi ndio anakimbilia kusema usichukulie serious, wakati migenye inamsumbua ana stress za mahusiano kama zote
🀣🀣🀣🀣🀣 Hivi yale maji yaliyokuwa kwenye gari hayakuwa na mchanganyiko wowote kweli..???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…