Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,350
Wache wakatoe kuoana dealInatia huzuni na hasira kusoma nyuzi kama hizi zinazo wajaza sifa wanawake humu JF.
Na mwisho wa siku hakuna wanachopata, nguo za ndani anavuliwa mshkaji ambae hata number yake haja save.
Sasa ulitaka watu wasiwe na legacy yao ??Mzee baba ule umombo mlioushusha umewaambukiza na wengine kumwaga ung'eng'e jukwaani kulilia penzi...
Ww hiki ulichoweka ndio uanaume? Hakuna mwanaume anaweka post ya hiviJinsia ni ME, Bado ni Mvulana huyo hajafikia level ya kuwa Mwanamume
hahahahahahahahaKwanzia huu mwezi uanze naona harakati kila kona.View attachment 2897168
π€£π€£π€£π€£π€£ kwendraaaHuu mwaka wako jirani hata ukiotesha mawe yataota.
Amini jirani huu mwaka usichoke kufosiπ€£π€£π€£π€£π€£ kwendraaa
Umesha logoff akaunt id yako mpya ya switi-kande? Lamomy mchukue menta wakoHeh ahh asitake makelele umepigwa non'gwa no count chini
π€£π€£π€£π€£π€£ kumekucha.!!!Issue gani mnazopeana kama sio bla bla. Madogo nyege zinawasumbua sana, mmeanza kunyoa mavuzi tokea enzi za wembe wa Topaz, ila Cha ajabu mnabehave kama ndio mpo balehe
Mkuu umeongea point na ndio ukweli wenyewe. Madogo tantalila nyiiingi, ila hawana ujasiri wa kwenda PM. Wanazuga ni utani, lakini wanamaanishaSema jf Me and Ke mpo desperate sana na mahusiano mpo na stress nyingi za mahusiano kitu nimetoka kuwaambia huko selfika, alafu hii ilipaswa uandike hivi mkishakubaliana sio unamtamani unaandika hivi. Naye sababu yupo desparate atakuja hapa kucheka cheka
Huu ni utoto na ulimbukeni
Najua mnakimbiliaga kusema "natania", huwa hakuna utani unamaanisha ni vile hujiamini
Haya jirani π€£π€£π€£π€£Amini jirani huu mwaka usichoke kufosi
Jirani yako nafosi sana ila naangukia pua, nipe mbinu πHaya jirani π€£π€£π€£π€£
Ahahahahah..usipopambana et? Mwachen kijana wa watu apambaneUsipo kuwa makini humu ,unaweza kuwa mpenzi mtazamaji tu.
Wewe ni wakiume, ila sio mwanaume. Sifa kubwa ya mwanaume ni kujiamini na kujuathamani ya uanaume wake.Mimi ni ME niliyeanzisha huu uzi, Na nimeanzisha kwa matakwa yangu mwenyewe, na Sipo Desperate hata kidogo kwa sababu Siku zote huwa nachukulia mambo kwa njia yenye usawaziko. Maoni yako siyaheshimu na wala siyakubali.
Mimi hapa
Sio huyu walio wengi humu ni either watoto au waoga sana, hii kujichekesha ndio huwa last option kwao ukiwabana kama hivi ndio anakimbilia kusema usichukulie serious, wakati migenye inamsumbua ana stress za mahusiano kama zoteWewe ni wakiume, ila sio mwanaume. Sifa kubwa ya mwanaume ni kujiamini na kujuathamani ya uanaume wake.
Ungekuwa unajiamini ungeenda pm, ila kuja kubwabwaja hapa ni kama vile unajihami. Acha ufala dogo. Think and behave like a real man. Na sio unakata viuno kama ndemwa
Nakazia kwa sauti kuuππIvan Stepanov eti umesema issue ya kuspend money is not a problem to you πππoke
naomba uje ununue pochi na flats kwa ajili ya udugu wangu Leejay49