Yaani Wewe Jamaa ni kiazi sana, na Sipendi hata kujibizana na Wewe una tabia za hovyo hovyo naonaga hata comments za Mabinti humu huwa una criticise sana una shida gani Wewe ? Alafu eti na Wewe una ndoto ya kuja kuwa President wa Tanzania? Badirika Mzee Punguza tabia za hovyo kama huwezi na hupendi jambo likaushie tu sio unakuja na kuelekeza nini kifanyike. Halafu ipo hivi WEWE UNAPOSEMA MIMI NIKO DESPERATE NA WEWE NDIO UPO DEPERATE PRO. Kwani kum Compliment Member humu shida iko wapi ? Nilishawahi kuwaandika Member humu kutokana na michango yao na mitazamo yao mbona hukuingilia?Anasema nisichukulie serious, ikitokea leejay akasema naomba tuongee pembeni na akasifu alichofanya wakae wayajenge atakataa??
Huyu yupo desparate anatafuta pa kuangukia
Manyanza hi π πππYaani Wewe Jamaa ni kiazi sana, na Sipendi hata kujibizana na Wewe una tabia za hovyo hovyo naonaga hata comments za Mabinti humu huwa una criticise sana una shida gani Wewe ? Alafu eti na Wewe una ndoto ya kuja kuwa President wa Tanzania? Badirika Mzee Punguza tabia za hovyo kama huwezi na hupendi jambo likaushie tu sio unakuja na kuelekeza nini kifanyike. Halafu ipo hivi WEWE UNAPOSEMA MIMI NIKO DESPERATE NA WEWE NDIO UPO DEPERATE PRO. Kwani kum Compliment Member humu shida iko wapi ? Nilishawahi kuwaandika Member humu kutokana na michango yao na mitazamo yao mbona hukuingilia?
Lamomy huyu Baby wako ni Andazi na hauna Baby hapana Mwambie aache gubu. π€£π€£π€£π€£
Siandiki jambo ili nifurahiwe kwa sababu kila mtu ana mtazamo wake, kilichonikera ni Wewe ni kuni attack mojamoja kwamba niko Desperate umenichefua sana aiseee. Jifunze sana kuwa na tafakuri ya mambo sio kukurupuka na mihemko kama Mbuzi aliyefunguliwa asubuhi kutoka Bandani.Jambo likishakuwa public linanihusu
Sijajibu kwa jazba, bali nimejibu kitu hujakipenda
Ningekuja kwa shangwe sana kama wengine hapo ungefurahi.
Haya kunywa glass ya maji upooze hasira sawa toto njuri njuri π€£π€£π€£π€£Huyo Baby wako wa Keyboard ni Fwalaaaaaaaaaaaaaa tu amenichefua sana halafu Mimi ni A real Man sipendagi ujinga.
Unajuaje PM Sijaenda ? Alafu na Wewe ni Andazi tu kama huyo Kantri Waidi, kum Compliment Mtu ni vibaya? au Kiingereza hujui ? Jaribu kusoma vizuri kama utaona nimeandika maneno ya kumtongoza huyu nilimwanzia huu uzi. Yaani Vijana wa humu ni wa hovyo sana. Mbona hata GENTAMYCINE kipindi kile alikuwa anampigia kampeni apewe Umalikia wa JF alikuwa anamtaka ?Wewe ni wakiume, ila sio mwanaume. Sifa kubwa ya mwanaume ni kujiamini na kujuathamani ya uanaume wake.
Ungekuwa unajiamini ungeenda pm, ila kuja kubwabwaja hapa ni kama vile unajihami. Acha ufala dogo. Think and behave like a real man. Na sio unakata viuno kama ndemwa
Namuelekezaje mwanaume wa nyuma ya keyboard..??? Mtafute mkewe umwambie amkanye π€£π€£π€£π€£Muelekeze aisee
Soma hii comment Andazi wewe CountrywideMtu yoyote anayefungua nyuzi za hivi ni mambo anayo yapenda.......
Sababu ungeweza kuignore tu na kisitokee kitu.
Awe serious awe anatania ni yeye, wewe mtu wa tatu unaumia nini?
Worst case scenario
Ni kweli jamaa yupo desparate, anateswa na Mapenzi, ni domo Zege na yupo serious anamtaka Binti.
Sisi watu baki tunaumia nini? Havunji sheria za Nchi wala za JF.
Tatizo nini ? Mpaka tunatokwa povu?
Kujipa umuhimu?
Tumejigeuza Standard au manual ya Namna ya kubehave humu ndani.
Nachofahamu ili ufungue nyuzi ni lazima ikuvutie, imekuvutia Umefika ndani unaanza kuponda.
We ulivyofungua ulitegemea kukuta nini?
Yes Mimi ni mdogo wako Ki umri lakini, Wewe ni wa hovyo sana aiseee, nashangaa huu uzi umekuletea shida. Huu uzi hauna theme ya kumtaka kimapenzi Miss Leejay49 ia ni Compliment zangu tu kumuelekea Yeye anapo shiriki humu JF. Lakini Wewe na Ujinga wako wa kuacha kuwahudumia Wananchi wa Kibaha umekuja na Negativity zako zisizo na kichwa wala miguu, Nimekudharau sana aiseeeWajinga hawa madogo
Mkuu ERoni umenena kweli huyu Countrywide ni Andazi tu. Na huu uzi kwangu ni Compliment tu. Lakini nashangaa amekuja na kuanza kuandika ujinga kanikera sana.Kwani watu wakiamua kutaniana na kufurahia, iwe kweli anamtaka au iwe sio kweli mnaumia nini?
Eti mtu anakuwa desperate akifungua uzi wa namna hii,zipo namna tofauti za kutafuta attention ya bidada, na kila mtu ana namna yake ya kumvutia mwanamke.
Mkuu mleta mada, just do what makes you happy.
Wewe na huyo genta wote akili hamna, ndio maana mnabwabwaja tu. Hapo ulikuwa unampa compliment au unamwaga sera zako? Acha ufala mbwa wewe. Mwanaume hutakiwi kuwa na shobo zisizokuwa na mipaka.Unajuaje PM Sijaenda ? Alafu na Wewe ni Andazi tu kama huyo Kantri Waidi, kum Compliment Mtu ni vibaya? au Kiingereza hujui ? Jaribu kusoma vizuri kama utaona nimeandika maneno ya kumtongoza huyu nilimwanzia huu uzi. Yaani Vijana wa humu ni wa hovyo sana. Mbona hata GENTAMYCINE kipindi kile alikuwa anampigia kampeni apewe Umalikia wa JF alikuwa anamtaka ?
Manyanza hi πWewe na huyo genta wote akili hamna, ndio maana mnabwabwaja tu. Hapo ulikuwa unampa compliment au unamwaga sera zako? Acha ufala mbwa wewe. Mwanaume hutakiwi kuwa na shobo zisizokuwa na mipaka.
Nina uhakika 100% kwamba PM hujaenda maana courage hiyo. Na mngebahatika kukaona hako kalily kenyewe mnakokaanzishiaga nyuzi, mngetuliza mishono
Sema ume jipinda mwanetuπ€£π, Kuna proverbs nime ziona ni shidaπ€£π.Ni compliments zangu tu kumuelekea huyu Miss Leejay49 lakini Watu wameelekeza mawazo yako kwenye mambo mengine. Aisee Vijana wanashida sanaaa π€£ π€£ π€£ π€£ π€£
π€£π€£π€£π€£ Hamna kukimbia battle hapa, tunataka utoe mashambulizi wananchi tuko makini tunafatilia pambanoAchana naye huyo ni under 20 sitaki kutumia eneji nyingine kujibizana naye πππ