Hata mimi nimeshindwa kumwelewa, sio English yake bali kusudio. Nilifikiria labda kuna msichana hapa anaitwa Mishell, lakini hata huyo hayupo hapa. Labda alimkusudia Dada yetu Michelle. Sijui.
Hahaha lol
Tangu Dena arushwe(aanzishiwe thread)
Naona kila mtu anaona hii ndo njia ya kutongoza lok
safii lakini hiyo english my dear
ni kama vile umri type kwenye GOOGLE TRANSLATER
uka copy na ku pest ..Nice.
Asante sana dear lakini usinipandishe chati hivyo. You'll make my chicks red and I'm black.
Usiniogope Dada, hii imetokea kwa bahati tu.
Na zaidi, kama alivyosema Socrates, "I know nothing except the fact of my ignorance".
Ubarikiwe na ulale salama.
Jamani Chell kupotea hivo sio vizuri naomba utoe faini ya mia tano(fashion ya siku hizi) kwa usumbufu niliopata, nakubali hata photocopy ya hiyo hela lol!