Dear Mishell, and now listen to me

Dear Mishell, and now listen to me

Hata mimi nimeshindwa kumwelewa, sio English yake bali kusudio. Nilifikiria labda kuna msichana hapa anaitwa Mishell, lakini hata huyo hayupo hapa. Labda alimkusudia Dada yetu Michelle. Sijui.

Ha ha ha ha,duh....ningefurahije....manake hiyo barua ina maneno matamu mno...ni siku nyingi sijaambiwa maneno mazuri hivyo....l.o.l
 
Hahaha lol
Tangu Dena arushwe(aanzishiwe thread)
Naona kila mtu anaona hii ndo njia ya kutongoza lok
safii lakini hiyo english my dear
ni kama vile umri type kwenye GOOGLE TRANSLATER
uka copy na ku pest ..Nice.

aisee, nikugongee thanks au groan? Groan sijajua maana yake lakini. Kama tusi utanirudishia mwenyewe.
 
Asante sana dear lakini usinipandishe chati hivyo. You'll make my chicks red and I'm black.
Usiniogope Dada, hii imetokea kwa bahati tu.
Na zaidi, kama alivyosema Socrates, "I know nothing except the fact of my ignorance".
Ubarikiwe na ulale salama.

Ha ha ha mie pia nakuogopa ile mbaya maana umeipata hiyo mmmmhhh sitacopy kabisa naogopa ile mbaya....................
 
Ha ha ha mie pia nakuogopa ile mbaya maana umeipata hiyo mmmmhhh sitacopy kabisa naogopa ile mbaya....................
DA dear, don't niogopa hamna kitu. Kama yeye alivyo google na mimi nimegoogle pia, na kwa bahati nzuri with the first click!
Ubarikiwe DAda.
 
Ha ha ha ha,duh....ningefurahije....manake hiyo barua ina maneno matamu mno...ni siku nyingi sijaambiwa maneno mazuri hivyo....l.o.l
Jamani Chell kupotea hivo sio vizuri naomba utoe faini ya mia tano(fashion ya siku hizi) kwa usumbufu niliopata, nakubali hata photocopy ya hiyo hela lol!
 
Kasopa this line has touched me How shall I ever prove what my heart is to you? How will you ever see it as I feel it?…

wether u have copied this letter or not; this is a fanatstic;sacred line............much appreciated
 
Only the best for our Mishell(Michelle).
 
aisee, nikugongee thanks au groan? Groan sijajua maana yake lakini. Kama tusi utanirudishia mwenyewe.

mie labda Groan hahahah lol
duuuhhh kwa bahati mbaya hakuna
Groan wala thanx wamezitoa zote..
mmmmhhhh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom