Dear Malaika....

Klorokwin unanitafuta ubaya wewe ...klorokwin unaniharibia swaumu yangu ati.......

Kwani Firstlady kuwa malaika wa magulumangu ni kuharibu swaum tena? Dah ama kweli sikubariki......Haya bwana nitende mimi mtima wako...
 
hehehe kuna sredi nyengine ya malaika, Magulumangu kaanzisha kule global publisher, kataja mpaka jina. nenda ukajionee mwenyewe

Sasa Mkuu n aona kweli unaua..Mimi na Global ni Swala na Simba acha paka na mbwa.......ila kama kuna mtu anaiba au kuna uhusiano kati ha JF na Global nijue...nipe link nimuone huyu magulumangu wa Global...
 
halaf hii " kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji:majani7:" umeiwekea hati miliki?, Mzee Yussuf akiiona nina hakika ataitungia album

krolokwini unaajenda zako hapo...methali na mzee yusuf wapi na wapi? Sema tu unataka nini au unaelekea wapi, mara global mara kataja jina sasa mzee yusuf yaani hamna uhusiano na malaika kabisa hapa
 
hahahaha naona umeamua kunichekesha .....naandaa album kabla mze yusuph hajaingia studio
Lakin wewe Klorokwin magulumangu atatutoa speed kwenye sread yake ..kwani wewe malaika wako ni Lotus ?:biggrin1:

Kweli ntamtoa nduki huyu krolokwini ila wewe utabakia sawa eeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhh
 
Sasa Mkuu n aona kweli unaua..Mimi na Global ni Swala na Simba acha paka na mbwa.......ila kama kuna mtu anaiba au kuna uhusiano kati ha JF na Global nijue...nipe link nimuone huyu magulumangu wa Global...
Sheria za JF haziruhusu cross ID calling, hivi ina maana sio wewe yule magulumangu wa Global Publisher? khaaa!
 
Hapo red usijali, Magulumangu na malaika washahamia PM, sredi ishafikia lengo sasa tunajitawanya tu. Mimi malaika wangu nasubiri hizi habari za kiama zipungue nimuanzishie sred, hamruhusiwi kuguess

Nimesikia na kuona mnanisema...Ntakutoa wewe tu Firstlady atabaki maana unaharibu shangwe weye.........
 
Sheria za JF haziruhusu cross ID calling, hivi ina maana sio wewe yule magulumangu wa Global Publisher? khaaa!

Huyo wa Global atakuwa KIHIYO, kwanza Global ni lile jukwaa la Aziz au la makamba eeeehhh....nitawavua magamba mwenyewe waache tu waibe ID za watu kwa kutaka umaarufu
 
Malaika yuko saloon nini? mbona bado hajaonekana? sisi tunasubiri tumpokee kwa vuvuzela bana.

Mavuvuzela atachanganyikiwa...huyu anapigiwa gitaaaa mzee au zeze kabisa.....bado anamaliziwa nywele angg'areeeeeeeeee kama kareeeeeeee kabla ya kupareeeeeeeeee
 
Mavuvuzela atachanganyikiwa...huyu anapigiwa gitaaaa mzee au zeze kabisa.....bado anamaliziwa nywele angg'areeeeeeeeee kama kareeeeeeee kabla ya kupareeeeeeeeee
heheh tutampigia na wimbo wa taifa halaf tutasitisha kutuma post kwa dakika 3 ili kuheshimu ujio wa malkia. Hukumpeleka saloon za sinza lakini? mbona anachelewa.
Nipo mkao wa kula.
 
heheh tutampigia na wimbo wa taifa halaf tutasitisha kutuma post kwa dakika 3 ili kuheshimu ujio wa malkia. Hukumpeleka saloon za sinza lakini? mbona anachelewa.
Nipo mkao wa kula.

Za sinza mhhh watachakachua nywele hao, halafu wmbo wa Taifa inabidi tusitumie CD au Pendrive maana maaskari wetu hawachelewi kukosea ukaanza kugomagoma...dakika tatu umenena mkuu......soo she will be there....anakula Saloon za Kigamboni mzee huku upepo mwanana unambembeleza huyu daraja sio la kina Wema na kina kale kanani katoto? Lulu sijui?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom