Dear Malaika....

Usijali mama ni jukumu langu kukumake u feel Alright...just the begining of our safari and will make it...
Magulumangu my dearest
Kweli Mungu kakujalia mmh
Poem, love letters, na kuendelea
Maneno matamu unayo itabidi
Niseme kweli Wifi anaraha mmhh
 
Magulumangu my dearest
Kweli Mungu kakujalia mmh
Poem, love letters, na kuendelea
Maneno matamu unayo itabidi
Niseme kweli Wifi anaraha mmhh

Lakini ujue yote hay si fun yangu, am just trying..fun yangu tofauti kabisa na haya but is very nice one day kama mungu akipenda u will see the real me...

Wife yako jamani hachoki kusema asante pia sichoki kusema I love you too...she deserve more than these dear....
 
halaf hii " kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji:majani7:" umeiwekea hati miliki?, Mzee Yussuf akiiona nina hakika ataitungia album
hahahaha naona umeamua kunichekesha .....naandaa album kabla mze yusuph hajaingia studio
Lakin wewe Klorokwin magulumangu atatutoa speed kwenye sread yake ..kwani wewe malaika wako ni Lotus ?:biggrin1:
 
hahahaha naona umeamua kunichekesha .....naandaa album kabla mze yusuph hajaingia studio
Lakin wewe Klorokwin magulumangu atatutoa speed kwenye sread yake ..kwani wewe malaika wako ni Lotus ?:biggrin1:
Hapo red usijali, Magulumangu na malaika washahamia PM, sredi ishafikia lengo sasa tunajitawanya tu. Mimi malaika wangu nasubiri hizi habari za kiama zipungue nimuanzishie sred, hamruhusiwi kuguess
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom