"Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli" - Jay Dee
Wivu lazima kwa mtu unayempenda kwa dhati
Mtu na shemeji yake wacheni ulongo
Mtu na shemeji yake wacheni ulongo
Yaaani hata kidogo shem??!
Kwa hiyo wewe haumuonei wivu kaka yangu?
Hata kidogo....
Khaaa!my wii jamani au haumpendi kwa dhati?
MshanaJR kama huna kabisa kabisa wivu inakuwaje, mi ananiambia simpendi nikisema nampenda anasema basi siko sawa kichwani je ni kweli.