Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
- Thread starter
- #81
Hahaha, kauli mbiu ya "mpaka kieleweke" inafanya kazi sawa bin sawia :]
Mtu unaenda kuchukua mtoto wa watu, kwao anapewa attention saa zote hata akifanya kipele, wewe humpi hata ndogo hata kwenye mambo yake makubwa.....ataweza wapi?!
Si unataka kumtia depression kuelekea wazimu tu (huyu mtoa mada anaonekana tayari yupo kwenye depression, ndo kuandika barua "hewa")
Kuna watu selfish. Akiambiwa nahitaji hili na hili, yeye hafanyi marekebisho kwa sababu yeye hana shida ile! As long as yeye yupo happy, anadhani na mwenziwe yupo happy, na japo akiambiwa haamini wala hakubali.
Asijaribu. Manake alikwishaweka story yake yote kwenye thread nyengine. Kwa hiyo hapo Bwana Mkubwa akipekua kidogo tu atajua kuwa Bibie ndio kaleta hadithi hapa.
Atafute mbinu nyengine tu.
heeee. Ya kuruka ukuta kwenda kunywa pombe ni noooomaaaa.