Dear Husband | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dear Husband

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Karucee, Sep 30, 2012.

 1. Karucee

  Karucee JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 11,076
  Likes Received: 2,695
  Trophy Points: 280
  This is an imaginary letter to you containing things I wish I could tell you to your face. I do not have the guts to tell you this because I might hurt your feelings but just writing it down will help ease my mind, or is it my heart.
  I realize that you are a good man and now that we have our own new baby we have more reason to be happy. I am not sad and I truly appreciate your efforts in giving me everything I need and giving me a good life.
  The problem dear husband, is that my heart is empty. I am very very lonely. Sometimes I just wanna curl up and cry. I feel so cold and all I want is you. I want to be held by you, have you talk to me, hold my hand.... Simply talk to me and do fun things. I have needs that are psychological and it is these that make me wonder how long this heart of mine will continue to feel cold. To the best of my knowledge, my basic needs are taken care of, I just wish we would bond because I love you and I wouldnt want to let my mind or heart wander. With this I humbly submit.
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Pole sana bidada
  Najua kwa sababu fulani, huwezi andika diary tena na JF imekuwa kama njia ya kutoa yale yaliyo moyoni mwako. Ni vigumu sana kuwabadilisha hawa wenzetu wawe na hisia kama za kwetu, hata kama tukijaribu vipi, ndio maanan unaposema unaogopa utamuumiza kwa kumwambia nakuelewa.

  Sijui mwenzangu unaabudu wapi, lakini kimbilio kubwa ni kutua matatizo yako kwa yule aliye juu, ni yeye peke yake atakaye kupa furaha.

  Sali sala hii!
  "When l struggle and wrestle to discover the next thing to do, next step to take, Ooh Lord, open door of understanding, open the door for your mercy, open door to your blessing"
  Hii hufaa pale ambapo hujui cha kufanya.

  Ubarikiwe bidada!
   
 3. jacjaz

  jacjaz JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  ooh my God! Dear Lord,please help me to understand better the needs of women.Amen
   
 4. Karucee

  Karucee JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 11,076
  Likes Received: 2,695
  Trophy Points: 280
  asante mkuu. Kweli diary itakuwa ngumu kuandika. Thanks 4 the prayer, I will memorize it. :*
   
 5. Karucee

  Karucee JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 11,076
  Likes Received: 2,695
  Trophy Points: 280
  amen. And when u understand them, fulfill them.
   
 6. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  dahaaa what is the problems behind u touch me
   
 7. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  We are sailing on the same boat. I wish i could find a way of expresing what i feel without hurting him.
   
 8. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Bi dada poleeee! Leo umeona UFUNGUKE na KUTIRIRIKA humu jamvini. I can imagine what you are going through!!! Mwenzio ndo maana nina THE ONE na MIZOMBIIII! The One akileta mambo ndivo sivoo, huyo najikeep busy na mizombiii!!!!! Hahahaaaaaaa! Si tiba ila inarudisha HADHI YA KIKE!!! (Sikushauri mwaya, tuachie wenyewe tulizoea KUBANANA HAPO HAPO) Wanaume PASUA KICHWAA sanaaaa! I WISH IF U GET A BOYFRIEND HE COMES WITH A USER MANUAL WITH HIM!!!! LOLEST!!!!
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  This is a nightmare of most women. But just pray for him and your emptiness will be replaced by love.
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,760
  Likes Received: 83,060
  Trophy Points: 280
  Sasa nyie watu mnalalamika hapa, si ajabu waume zenu hawayajui malalamiko yenu...mie kwa ushauri wangu mkae na waume zenu muwaeleze A to Z ya kile ambacho hakiwaridhishi katika ndoa zenu ili labda wakifanyie kazi na hivyo muanze kuridhika.

  Msiwaogope waume zenu kuwaambia kile ambacho hakiwaridhishi ndani ya ndoa vinginevyo (ma)tatizo litazidi/yatazidi kuota mizizi na hivyo kuwa gumu ku(ya)litatua na matokeo ni ndoa kuvunjika au kubaki kuwa ndoa jina tu kila mtu yuko kivyake vyake.
   
 11. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hawa watu ni balaa duh.
  Yaani wanataka mme awe Mungu tena?
  Nitajuaje unataka nini kama husemi?

  Aghrrrrrr,tupa kule,kama huwezi ongea uwe tayari kuugulia moyoni.
   
 12. peri

  peri JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  lol, mapenzi yanamambo.
  Ila unatakiwa uwe free kuongea na mwenzi wako, kukaa nayo moyoni pekee hakusaidii.
   
 13. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,175
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  sikia mamie
  hebu jaribu kuongea na mumeo ajue una tatizo gani mpenzi wangu
  wakati mwingine unaweza kudhani anafanya makusudi kumbe mwenzio anajua ndo kashamaliza hapo!
  mwambie kwa upendo
  kwa stara za kike
  kwa lugha iliyopikwa mwambie mfunulie moyo wako
  mweleze utakavyojisikia akifanya hayo unayowish akufanyie
  mweleze jinsi gani unamkosa na jinsi gani uwepo wake utaujaza moyo wako ulio tupu
  mwambie jinsi unahitaji mengine zaidi ya hayo anayokupa
  mwambie vile nafsi yako inavyomuhitaji!
  funguka bidada funguka!
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Dear my lovely wife..

  cant you find a new hobby to make you busy?

  how about watching tv soaps more? lol
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,760
  Likes Received: 83,060
  Trophy Points: 280
  Wanasema mafanikio ndani ya ndoa yanaletwa na vitu vitatu:

  1. Communication
  2. Communication
  3. Communication

  Sasa kama kuna kitu kinakukera usipomwambia mwenzio bali ukaenda kulalamika pembeni, kweli hiyo kero itaacha kuendelea kuwepo ndani ya ndoa yenu?


   
 16. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #16
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,554
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Uko right kabisa, kwa maisha tunayoishi sasa nadhani kufunguka kwa kina mama ni muhimu, mbona sisi huwa tunasema tunachotaka. Usihofu kuwa utaamumiza wewe sema kwa njia ya heshima atakuelewa tu!!! Naongea kwa experience ya 15 years!!
   
 17. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  BAK you are right; lkn tafuta post za bidada za nyuma utagundua. Mwanaume yuko busy almost muda wote sijui makusafiri mameetings nk.

  Mdada anahudumiwa vizuri sana tu, lkn mume hapatikani yuko occupied na kazi pamoja na stress zinazoambatana na kazi. Of course kazi ndio inauowakeep mjini, lkn romance isipokuwepo kuna tatizo pia.

  Ndio maana tunamshauri aombe ili bidada ajiadjust, au amuombe mumewe amruhusu afanye kazi (not for the money, lkn aweze kujikeep busy na kuongeza mchango wake kwa maendeleo ya society).
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  Namsubiri Nyumbakubwa hapa
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,760
  Likes Received: 83,060
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana nawe Kaunga, lakini kwa jinsi nilivyomuelewa huyu dada inaonekana hajamfahamisha mumewe kile kinamchosibu moyoni mwake. Mume si ajabu anadhani nyumbani kila kitu ni shwari lakini kwa mke hali haiko hivyo.

  Kama alishawahi kumwambia mumewe yale yanayomkera ndani ya ndoa yao (as per previous posts from the same member) na nini anataka kifanyike ili afurahie maisha ya ndoa na mumewe kupuuzia basi hilo ni swala lingine ambalo linahitaji msaada kutoka watu wa karibu yao ili wainusuru ndoa ya wahusika.


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Noooo! Iwant you home by sun set, to spend some quality time with us me n your kid! And while you are here, dont be busy with your phone or football! Without u everything is BORING especialy the soaps because they remind me of how others are loved more by their husbands. UPO HAPO!!!! Mume bora wa mwaka?????
   
Loading...