Asante godoro leo ni usiku mwingine
Nakuja kitandani nina usingizi mwingine
Wengine wamelala wanaota ndoto zingine
Mimi bado macho kodo kama popo wengine
Nalala sana ila ndoto wanaota wengine
wengine wanasema ninunue godoro lingine
Hapana hili si kama godoro lingine
nilinunua mwenyewe si mtu mwingine
mungu akipenda tutakutana asubuhi nyingine..........Ameeen.