Dear future wife...

Dear future wife...

Natamani kukuonesha zaidi ni kiasi gani maisha yako yatakuwa yenye furaha kuanzia siku ambayo nitafunga pingu za maisha nawe. Nimepanga uione kila dakika katika maisha yako ya ndoa, kuwa ni nyakati nzuri za kukumbukwa. Nitakusifia kwa uzuri na tabia, siku zote kwa sababu umekuwa wa thamani sasa mpaka siku hiyo ambayo utakuwa ukimiliki sehemu kubwa ya maisha yangu.

Sijambo rahisi kusema nimekubali kukukabidhi maisha yangu, na kuwa nitatumia miaka yangu iliyobaki kuwa na wewe peke yako. Naahidi kukukabidhi funguo za moyo wangu wa upendo nilioufunga; ukiamua unaweza kuzimeza au kuzitupa ili nisiweza kufungua kwa mwingine.

Sitaki hata kufikiria maumivu yatakayoletwa na siku hiyo ambayo tutagombana. Nahisi moyo wangu utasimama na kuacha kufanya kazi yake kwa muda kama injini iliyokataa kuwaka. Lakini katika kila nyakati mbaya zitazopita, naahidi kusimama imara kukuonesha ni kiasi gani nimeamua kuwa na wewe mpaka siku nitakayotangulia.

Nakupenda kiasi ambacho umeweza kuwa shahidi wa penzi langu kwako, naahidi sintakuumiza.
Mkuu future wife?😀😀😀😀😀 Unapoamua kuvaa uhusika wa kiume kwenye movie, jitahidi kufuata script ya kiume.....sasa wewe unatoka nje ya script.....hii ndio mara ya kwanza kuwa na aidiii mchepuko?🙁🙁🙁🙁🙁🙁 Sarcasm.
 
Wacha nimpelekee moto sasa nilikuwa namalizana na kafiri na ajifunge mshipi sawasawa vinginevyo utamporonyoka hehehe
the only thing that you are done with,is scripting another fairy tale.Stop lying and confess.
 
We kisokolokwinyo future wife wangu najua saizi unabanjuka tu na ki boyfriend chako mnadanganyana kua mtaoana, najua kishakutoa bikra ya heshima Ila chonde chonde nakuomba ujitahidi asikutoe bikra ya topeni maana huko ni laana mama
 
Back
Top Bottom