Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,158
Leo Bwana Anthony Komu ndiye NEXT...,30 na Qbenehyaaa... to Foĺlow... Oooh Wapi Japharay Mitchel???
Sio kwamba chadema inarudisha mabomu tumboni mwa chatu ili kumfumua kutokea ndani? Nawaza tu.....
Subiri mwaka huu wa 2020 muone kama mtapata hata kira buku!Chahali unachekesha kweli, inaonekana umejigeuza wa kuwa SI Unit ya ukweli, kwamba unachosema ww ndio ukweli na hakuna ruhusa ya mtu yoyote anayepaswa kuwa tofauti na unachosema.
Unasema kwamba cdm na ccm wote ni maadui wa ukweli na ukweli huo unaosema hawautaki ni huo unaousema ww! Ni kweli una hoja za hapa na pale, lakini haimaanishi mtu akiutaka ukweli basi ataupata kwako.
Tuje kwenye hoja yako ya kuhusu Lowassa, unaonyesha cdm itaathirika kwa Lowassa kuondoka, lakini huonyeshi ni kwa vipi uwepo wa Lowassa ndani ya cdm ulileta mafanikio. Lowassa alipata kura 6m+ akiwa na miezi mitatu tu ndani ya cdm. Ukweli ambao unaifumbia macho ni kuwa Lowassa alipata kura zile sio kwa uwezo wake bali cdm yenyewe ilikuwa imeshapata imani ya wananchi, hivyo yoyote angepata kura hata zaidi ya zile. Tuangalie mchango wa Lowassa baada ya uchaguzi. Ni lini uliwahi kumuona Lowassa akifungua tawi jipya la cdm au hata kupokea wanachama wapya? Cdm imekuwa ikilalamikiwa kwa kutokuwa na ofisi ya hadhi yake, mbona Lowassa haikujenga basi hata ofisi mpya yenye hadhi ya cdm ili mchango wake uonekane? Lowassa hakuwahi kuwa mpinzani na hatakaa awe mpinzani, yeye alipokosa nafasi ccm akatoa hela zake kuwapa viongozi wachache wa cdm wenye tamaa na kupewa nafasi hiyo, ila ukweli hakuwa na mapenzi yoyote na cdm.
Suala la ww kutukanwa, kila mtu humu hutukanwa na kusifiwa kulingana na hoja yake na maslahi ya hiyo hoja yake kwa kundi husika. Hivyo hoja ya kutukanwa kwa ukweli unaosema ni hoja mfu. Unasema baada ya Lowassa who is next. Kwani Lowassa alikuwa na nafasi gani ya kiutawala ambayo kwa kuondoka kwake kunahitaji kupigiwa kura ili ijazwe? Una mawazo ya kawaida usitake kujikweza kwamba una maoni mazuri sana.
S
Subiri mwaka huu wa 2020 muone kama mtapata hata kira buku!
Duh...!, kiukweli jf kubwa!. Huu uzi ndio nauona leo!.Drill is the same: kila anayehama "acha aende zake"... eti alikuwa na mapungufu flani, japo laiti ungejaribu kuyataja mapungufu hayo kabla hajahama ungeambulia matusi.
Back to swali la msingi: Je Chadema inaweza kutuambia WHO IS NEXT (and may be WHO ISN'T)?
Mkuu Chahali, hili la kirusi Chadema ni kweli. Kwa viile si rahisi kubaini who is who, na kwa vile wewe ulikuwa official wa kitengo, hivyo wale maofisa wenzako wa level ya uofisa mnajuana ndio maana umemtaja Mbunge mmoja na Diwani mmoja, lakini hata wewe na wana kitengo wengine can not tell who is who.Na moja ya ukweli ambao ndugu zangu wa Chadema wanaukwepa ni kwamba kuna virusi vinavyokitafuna chama hicho, virusi vya asili (vinavyopandikizwa na Kitengo: mbunge mmoja wa chama hicho ni afisa wa kitengo sambamba na diwani mmoja) na virusi vilivyoingia kwa kasi mwaka 2015.
Intelijensia ya Chadema ilikuwa imara sana enzi za kina Dokta Slaa. Ndio iliyoiwezesha Chadema kupata nyaraka mbalimbali muhimu zilizokiwezesha chama hicho kuwa mahiri katika kuibua ufisadi.
Hakuhitaji akili nyingi au degree nyingi ama jicho la 'kijasusi' ati kwanini wanahama. Sababu zi wazi kabisa na kubwa ya zote ni MASLAHI binafsi.Drill is the same: kila anayehama "acha aende zake"... eti alikuwa na mapungufu flani, japo laiti ungejaribu kuyataja mapungufu hayo kabla hajahama ungeambulia matusi.
Both Chadema na CCM wana uhasama mkubwa dhidi ya ukweli. Waambie ukweli utaitwa kila aina ya jina baya kama si kutukanwa kila aina ya tusi.
Lakini ukweli una tabia moja ya msingi: kuukataa ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Ukweli hubaki kuwa ukweli.
Na moja ya ukweli ambao ndugu zangu wa Chadema wanaukwepa ni kwamba kuna virusi vinavyokitafuna chama hicho, virusi vya asili (vinavyopandikizwa na Kitengo: mbunge mmoja wa chama hicho ni afisa wa kitengo sambamba na diwani mmoja) na virusi vilivyoingia kwa kasi mwaka 2015 wakati chama hicho kilipolamba matapishi yake - kwa kumwandama Lowassa miaka 9 mfululizo kuwa ni fisadi kabla ya kumpokea na kumfanya mgombea urais.
Intelijensia ya Chadema ilikuwa imara sana enzi za kina Dokta Slaa. Ndio iliyoiwezesha Chadema kupata nyaraka mbalimbali muhimu zilizokiwezesha chama hicho kuwa mahiri katika kuibua ufisadi.
Na intelijensia hiyo ilikuwa mahiri pia katika kubaini hujuma mbalimbali dhidi ya chama hicho.
Yayumkinika kuhisi kuwa laiti ingekuwa zama hizo, basi huenda wenye mipango ya kuhama wangejulikana mapema na pengine kuchukuliwa hatua stahili.
Ni rahisi kujihadaa kuwa "acha waende" ilhali hamjui WHO IS NEXT. Kwa sababu hata Lowassa alikuwa anasema hivyo hivyo "acha waende" lakini nae kafuata mkumbo.
Ni rahisi kujihadaa kuwa hamahama hii haina athari lakini kama Chadema itajihangaisha kufikiria athari za hamahama hiyo sio kwa wanachama wao bali "watu wasio na vyama" - kundi muhimu kabisa katika siasa za chaguzi za Tanzania - itabaini kuwa ina kazi ya ziada kulishawishi kundi hilo kuwa chama hicho kinastahili kuendelea kuaminiwa.
Back to swali la msingi: Je Chadema inaweza kutuambia WHO IS NEXT (and may be WHO ISN'T)?
Drill is the same: kila anayehama "acha aende zake"... eti alikuwa na mapungufu flani, japo laiti ungejaribu kuyataja mapungufu hayo kabla hajahama ungeambulia matusi.

Hakuhitaji akili nyingi au degree nyingi ama jicho la 'kijasusi' ati kwanini wanahama. Sababu zi wazi kabisa na kubwa ya zote ni MASLAHI binafsi.
Na hili lipo kwa vyama vyote! Kuna waliotoka Ccm kwenda CDM kwa maslahi ya urais na vyeo,wamekosa wamerudi walipotoka!Dr. Mashinji amewajibu watanzania wengi sana waliokuwa wamejitoa ufahamu kanakwamba hawajui sababu ya upinzani kuhamia CCM. "Jibu ni tumbo" huwezi mkataa Mungu ukamkubali shetani. Nafikiri baada ya Dr Mashinji kuandika kilichomwondoa Chadema atakaeendelea kuhoji kwanini huyo atakuwa mpumbvu na mjinga!
Ndiyo maana tunasema siku hizi hatuna wanasiasa ila tuna wafanyabiashara wa siasa.Na hili lipo kwa vyama vyote! Kuna waliotoka Ccm kwenda CDM kwa maslahi ya urais na vyeo,wamekosa wamerudi walipotoka!
Hoja ya jamaa ni kuwa mnatakiwa kuwajua hao ambao wapo kimaslahi zaidi ili muweze kuchukua hatua na kuimarisha upinzani! Kitendo cha kutowajua ndio kinaibua hoja kwenye bandiko hiliHakuhitaji akili nyingi au degree nyingi ama jicho la 'kijasusi' ati kwanini wanahama. Sababu zi wazi kabisa na kubwa ya zote ni MASLAHI binafsi.
Double std unapopatta maslah ya kupoza njaa huwa unaunga upanfe mmoja, baada ta kudhulumiwa pesa na Komrade Kinana alizokuahidi umekuwa mwiba Mkali kwa Ccm. Kwa sasa unajifanya uko neutral.Drill is the same: kila anayehama "acha aende zake"... eti alikuwa na mapungufu flani, japo laiti ungejaribu kuyataja mapungufu hayo kabla hajahama ungeambulia matusi.
Both Chadema na CCM wana uhasama mkubwa dhidi ya ukweli. Waambie ukweli utaitwa kila aina ya jina baya kama si kutukanwa kila aina ya tusi.
Lakini ukweli una tabia moja ya msingi: kuukataa ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Ukweli hubaki kuwa ukweli.
Na moja ya ukweli ambao ndugu zangu wa Chadema wanaukwepa ni kwamba kuna virusi vinavyokitafuna chama hicho, virusi vya asili (vinavyopandikizwa na Kitengo: mbunge mmoja wa chama hicho ni afisa wa kitengo sambamba na diwani mmoja) na virusi vilivyoingia kwa kasi mwaka 2015 wakati chama hicho kilipolamba matapishi yake - kwa kumwandama Lowassa miaka 9 mfululizo kuwa ni fisadi kabla ya kumpokea na kumfanya mgombea urais.
Intelijensia ya Chadema ilikuwa imara sana enzi za kina Dokta Slaa. Ndio iliyoiwezesha Chadema kupata nyaraka mbalimbali muhimu zilizokiwezesha chama hicho kuwa mahiri katika kuibua ufisadi.
Na intelijensia hiyo ilikuwa mahiri pia katika kubaini hujuma mbalimbali dhidi ya chama hicho.
Yayumkinika kuhisi kuwa laiti ingekuwa zama hizo, basi huenda wenye mipango ya kuhama wangejulikana mapema na pengine kuchukuliwa hatua stahili.
Ni rahisi kujihadaa kuwa "acha waende" ilhali hamjui WHO IS NEXT. Kwa sababu hata Lowassa alikuwa anasema hivyo hivyo "acha waende" lakini nae kafuata mkumbo.
Ni rahisi kujihadaa kuwa hamahama hii haina athari lakini kama Chadema itajihangaisha kufikiria athari za hamahama hiyo sio kwa wanachama wao bali "watu wasio na vyama" - kundi muhimu kabisa katika siasa za chaguzi za Tanzania - itabaini kuwa ina kazi ya ziada kulishawishi kundi hilo kuwa chama hicho kinastahili kuendelea kuaminiwa.
Back to swali la msingi: Je Chadema inaweza kutuambia WHO IS NEXT (and may be WHO ISN'T)?
Good! Kila mtu anatakiwa kujua 'nafasi' yake.Kura buku mbona nyingi sana? Kama tume ya uchaguzi itakuwa huru, kura zitavuka 40%. Ila kama ni hii tume inayopewa maagizo na jiwe, hata kura 3 ni nyingi sana.
Nani alikudanganya mbona wapo wengi tuMchezaji wa Barcelona hawezi kusajiliwa moja kwa moja kwenda real Madrid.....lazima aendea kwanza labda huko Ossasuna...etc
OK... Hiyo ni principle ndogo kabisaaNani alikudanganya mbona wapo wengi tu