Dear Chadema, so WHO IS NEXT?

Agreed,if his performance is poor,why are still up with him?, are you waiting to insult him after depar, as you do now to Lowassa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Please don't get me wrong, Am not insulting him, what Am saying he is underperforming and this is a naked truth. About him being in the office I'm not a decision maker.
 
Drill is the same: kila anayehama "acha aende zake"... eti alikuwa na mapungufu flani, japo laiti ungejaribu kuyataja mapungufu hayo kabla hajahama ungeambulia matusi.

Both Chadema na CCM wana uhasama mkubwa dhidi ya ukweli. Waambie ukweli utaitwa kila aina ya jina baya kama si kutukanwa kila aina ya tusi.

Lakini ukweli una tabia moja ya msingi: kuukataa ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Ukweli hubaki kuwa ukweli.

Na moja ya ukweli ambao ndugu zangu wa Chadema wanaukwepa ni kwamba kuna virusi vinavyokitafuna chama hicho, virusi vya asili (vinavyopandikizwa na Kitengo: mbunge mmoja wa chama hicho ni afisa wa kitengo sambamba na diwani mmoja) na virusi vilivyoingia kwa kasi mwaka 2015 wakati chama hicho kilipolamba matapishi yake - kwa kumwandama Lowassa miaka 9 mfululizo kuwa ni fisadi kabla ya kumpokea na kumfanya mgombea urais.

Intelijensia ya Chadema ilikuwa imara sana enzi za kina Dokta Slaa. Ndio iliyoiwezesha Chadema kupata nyaraka mbalimbali muhimu zilizokiwezesha chama hicho kuwa mahiri katika kuibua ufisadi.

Na intelijensia hiyo ilikuwa mahiri pia katika kubaini hujuma mbalimbali dhidi ya chama hicho.

Yayumkinika kuhisi kuwa laiti ingekuwa zama hizo, basi huenda wenye mipango ya kuhama wangejulikana mapema na pengine kuchukuliwa hatua stahili.

Ni rahisi kujihadaa kuwa "acha waende" ilhali hamjui WHO IS NEXT. Kwa sababu hata Lowassa alikuwa anasema hivyo hivyo "acha waende" lakini nae kafuata mkumbo.

Ni rahisi kujihadaa kuwa hamahama hii haina athari lakini kama Chadema itajihangaisha kufikiria athari za hamahama hiyo sio kwa wanachama wao bali "watu wasio na vyama" - kundi muhimu kabisa katika siasa za chaguzi za Tanzania - itabaini kuwa ina kazi ya ziada kulishawishi kundi hilo kuwa chama hicho kinastahili kuendelea kuaminiwa.

Back to swali la msingi: Je Chadema inaweza kutuambia WHO IS NEXT (and may be WHO ISN'T)?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nchi kama hii ambayo dola inafanya siasa mnalaumuje chadema?mnajua kwanini katiba ilikataza dola kufanya siasa?
Ni kwasababu wahenga walijua dola ikifanya siasa ushindani hautakuwa wa haki,sasa chadema mnataka waishinde vipi dola?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Drill is the same: kila anayehama "acha aende zake"... eti alikuwa na mapungufu flani, japo laiti ungejaribu kuyataja mapungufu hayo kabla hajahama ungeambulia matusi.

Both Chadema na CCM wana uhasama mkubwa dhidi ya ukweli. Waambie ukweli utaitwa kila aina ya jina baya kama si kutukanwa kila aina ya tusi.

Lakini ukweli una tabia moja ya msingi: kuukataa ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Ukweli hubaki kuwa ukweli.

Na moja ya ukweli ambao ndugu zangu wa Chadema wanaukwepa ni kwamba kuna virusi vinavyokitafuna chama hicho, virusi vya asili (vinavyopandikizwa na Kitengo: mbunge mmoja wa chama hicho ni afisa wa kitengo sambamba na diwani mmoja) na virusi vilivyoingia kwa kasi mwaka 2015 wakati chama hicho kilipolamba matapishi yake - kwa kumwandama Lowassa miaka 9 mfululizo kuwa ni fisadi kabla ya kumpokea na kumfanya mgombea urais.

Intelijensia ya Chadema ilikuwa imara sana enzi za kina Dokta Slaa. Ndio iliyoiwezesha Chadema kupata nyaraka mbalimbali muhimu zilizokiwezesha chama hicho kuwa mahiri katika kuibua ufisadi.

Na intelijensia hiyo ilikuwa mahiri pia katika kubaini hujuma mbalimbali dhidi ya chama hicho.

Yayumkinika kuhisi kuwa laiti ingekuwa zama hizo, basi huenda wenye mipango ya kuhama wangejulikana mapema na pengine kuchukuliwa hatua stahili.

Ni rahisi kujihadaa kuwa "acha waende" ilhali hamjui WHO IS NEXT. Kwa sababu hata Lowassa alikuwa anasema hivyo hivyo "acha waende" lakini nae kafuata mkumbo.

Ni rahisi kujihadaa kuwa hamahama hii haina athari lakini kama Chadema itajihangaisha kufikiria athari za hamahama hiyo sio kwa wanachama wao bali "watu wasio na vyama" - kundi muhimu kabisa katika siasa za chaguzi za Tanzania - itabaini kuwa ina kazi ya ziada kulishawishi kundi hilo kuwa chama hicho kinastahili kuendelea kuaminiwa.

Back to swali la msingi: Je Chadema inaweza kutuambia WHO IS NEXT (and may be WHO ISN'T)?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Chadema wanatakiwa wamshawishi nani na kwa faida ya nani? Kama tunadhani kile tulichofanyiwa na ccm kizuri au kibaya,kidogo au kikubwa ndani ya miaka 58 ya uhuru ndo sitahi yetu na tunataka waendelee kututawala basi acha waendelee,ila kama tulivhofanyiwa si kile tunachositahili basi hatuhitaji chama wala mtu wa kutushawishi ili tuikatae ccm, maana tutakuwa hatuna cha kupoteza kwa kuikataa ccm
 
A good question to begin with.
Mimi naamini CHADEMA ingepata kura zile hata Sugu au Lema angegombea.

Angegombea Slaa huenda angevuka kura hizo.

Sasa tujiulize viongozi wa CHADEMA waliompitisha Lowassa kuiwakilisha CHADEMA waliwaza nini?
Pesa yake. Hata tuliodhani walikuwa na akili tukiwauliza kwanini mmepitisha huyu majibu yalikuwa mara Dr Slaa katupiwa vilago, mara kafungiwa na mkewe, mara heri tuingie ubia na shetani...Hakuna aliyekuja na jibu linaloeleweka.
 
Hivi nini maana ya " tunajifunza kutokana na makosa?"
 
CHADEMA ni tishio kwa nani? Kama mti ulivyo, ukiungoa kuanzia MIZIZINI utaishia kuanguka na matawi yoote. Hapo, TAML naye ataangushwa na mti wake. Lakini, hata mbuyu humea kama mchicha. Mbegu zikiwepo, mti mpya huooooo !

Worst case scenario (ramli): kama ilivyo miti aina flani, hata ungolewe kivipi, bado huendelea kustawi. Kiwiliwili na matawi yake yakiwa chini na bado ndo huanza kuchipua vertically. Immortal!
 
A good question to begin with.
Mimi naamini CHADEMA ingepata kura zile hata Sugu au Lema angegombea.

Angegombea Slaa huenda angevuka kura hizo.

Sasa tujiulize viongozi wa CHADEMA waliompitisha Lowassa kuiwakilisha CHADEMA waliwaza nini?
Hivi nini maana ya " tunajifunza kutokana na makosa?"
 
Pesa yake. Hata tuliodhani walikuwa na akili tukiwauliza kwanini mmepitisha huyu majibu yalikuwa mara Dr Slaa katupiwa vilago, mara kafungiwa na mkewe, mara heri tuingie ubia na shetani...Hakuna aliyekuja na jibu linaloeleweka.
Sasa ninyi wenye akili tusaidieni why viongozi wote wa ccm wameenda kumpokea huyo?
 
Wew sherehekea kupokea hilo fisadi maana limeona upande wa cdm hawana tabia za kifisadi limeona lirudi kundin kuendeleza ufisadi wake.
Alishasafishwa na chadema. Lowassa siyo fisadi tena
 
Uchanga wa cdm kwenye siasa ni kukosa nguvu kwenye maamuzi ya vyombo vya dola tu. Ccm nje ya vyombo vya dola ni dhaifu kuliko maelezo.
Mbona TANU ilitoboa wakati wa ukoloni? Acheni visingizio. Nyie bado wachanga sana
 
Hujui historia kaa kimya. Tanzania haikuwa koloni bali chini ya udhamini wa waingereza mpaka itakapoweza kujitawala. Wazungu hapa nchini walikuwa ni wa kuhesabu na waliajiri waafrika wenzetu kuwasaidia kutawala. Lakini hao wanaccm wapo hapa hapa nchini hata wakitoka madarakani wataendelea kuishi hapa hapa kwani hawana pakwenda. Toa mifano inayofanana na mazingira halisi boss.
 
Drill is the same: kila anayehama "acha aende zake"... eti alikuwa na mapungufu flani, japo laiti ungejaribu kuyataja mapungufu hayo kabla hajahama ungeambulia matusi.

Both Chadema na CCM wana uhasama mkubwa dhidi ya ukweli. Waambie ukweli utaitwa kila aina ya jina baya kama si kutukanwa kila aina ya tusi.

Lakini ukweli una tabia moja ya msingi: kuukataa ukweli hakuufanyi kuwa uongo. Ukweli hubaki kuwa ukweli.

Na moja ya ukweli ambao ndugu zangu wa Chadema wanaukwepa ni kwamba kuna virusi vinavyokitafuna chama hicho, virusi vya asili (vinavyopandikizwa na Kitengo: mbunge mmoja wa chama hicho ni afisa wa kitengo sambamba na diwani mmoja) na virusi vilivyoingia kwa kasi mwaka 2015 wakati chama hicho kilipolamba matapishi yake - kwa kumwandama Lowassa miaka 9 mfululizo kuwa ni fisadi kabla ya kumpokea na kumfanya mgombea urais.

Intelijensia ya Chadema ilikuwa imara sana enzi za kina Dokta Slaa. Ndio iliyoiwezesha Chadema kupata nyaraka mbalimbali muhimu zilizokiwezesha chama hicho kuwa mahiri katika kuibua ufisadi.

Na intelijensia hiyo ilikuwa mahiri pia katika kubaini hujuma mbalimbali dhidi ya chama hicho.

Yayumkinika kuhisi kuwa laiti ingekuwa zama hizo, basi huenda wenye mipango ya kuhama wangejulikana mapema na pengine kuchukuliwa hatua stahili.

Ni rahisi kujihadaa kuwa "acha waende" ilhali hamjui WHO IS NEXT. Kwa sababu hata Lowassa alikuwa anasema hivyo hivyo "acha waende" lakini nae kafuata mkumbo.

Ni rahisi kujihadaa kuwa hamahama hii haina athari lakini kama Chadema itajihangaisha kufikiria athari za hamahama hiyo sio kwa wanachama wao bali "watu wasio na vyama" - kundi muhimu kabisa katika siasa za chaguzi za Tanzania - itabaini kuwa ina kazi ya ziada kulishawishi kundi hilo kuwa chama hicho kinastahili kuendelea kuaminiwa.

Back to swali la msingi: Je Chadema inaweza kutuambia WHO IS NEXT (and may be WHO ISN'T)?

Sent using Jamii Forums mobile app
We don't care about who is next, upinzani umo ndani ya mioyo ya watu, people need change,and change don't need people.
Hata aende Mbowe, upinzani upo tu,hata anunuliwe Lissu upinzani upo tu, upinzani ulianzia mbinguni, utakuwepo tu siku zote, hii ni dhoruba kubwa ambayo CHADEMA wanapitia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom